TANZIA Mzee Muhidin Ndolanga afariki dunia, aliwahi kuhudumu kama rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

Hizo chanjo za ndui,surua,polio,ukoma nk ulizochoma tangu utotoni Wazazi wako walidhithibitisha?
 
Nilitaka niandike wema hawadumu kumbe nimejisahau kama kagonga sabini na upuuzi,, suala la wema nikikumbuka ya Mohammed mwameja acha tu nifunge domo langu, by the way r.i.p
Hahahaha huyu Mzee alikuwa kauzu sana,umenikumbusha mkasa wa Mwameja.
 
Halafu huyu Mzee alikuwa mjanja sana,kwenye kashfa zote za upigaji hela FAT alikuwa anamtanguliza Katibu wake Mzee wa Mbumbumbu Rage,mwisho wa siku Rage anakula mvua yeye hana hatia.
 
Muda wake umetimia, apumzike kwa amani...

Ila tutamkumbuka FAT ya Ndolanga na Rage ilikuwa ndio kinara wa upigaji pengine kuliko hata TFF ya Malinzi na wengineo...
 
Hivi ni kweli Ndolanga ndiye aliyechomesha ile ishu ya umri wa wale wachezaji wa Serengeti boys ya kina Nizar Khalfani?
 
Kwani ukichanjwa ndio hupati virusi? au hutaugua? unajuaje kama hakuchanjwa ama alichanjwa? bwashee siku ikifika hata ufanyeje utaondoka tu.
 
Alimtandika ngumi mwanasiasa mmoja. Kiboko ya Mauldi Baraka wa Kitenge alimwambia hana shule.
 
Kitenge: Kwanini Taifa Stars imeshindwa kuweka kambi kwa wakati?

Ndolanga: Unajua wewe Maulid mimi ni sawa na babayako mzazi, sasa kwanini unaniuliza maswali magumu hivyo?
 
Alikuwa fisadi acha wapungue. Bado Singh na Rugemalira na akina Jakaya Kikwete
 
nakumbuka maulid kitenge wa radio one kipindi cha michezo walikuwa wanasumbuana sana na huyuu mzee kwenye mahojiano hadi raha.

Anaekumbuka baadhi ya mahojiano atushushie hapa.
 
Alikuwa jeuri na aliyekuwa anampa ujeuri alikuwa anajulikana,mbona badaye alikuja kutulia

Ova
 
Jibu hoja kwa hoja.
Tofautisha wataalam,na wanaokariri kilichogunduliwa na wataalam.
Si ajabu hiyo amri unayotoa kwa wasiokuhusu ni mojawaopo ya madhara ya kuchanjwa.

Kwa hiyo wewe kijiweni uko vizuri zaidi ila madaktari wakuu wa mikoa ambao taarifa za wagonjwa na mortuary zote za mikoa yao ziko mikononi mwao wamekariri?

Bado hujihurumii tu na kuwa uko vizuri?!

"No wonder ACP Kingai hakuisha tukumbushane kuachana na ambayo hayakuwa kazi yake!"

Hiiiiii bagosha!
 
Kwani ukichanjwa ndio hupati virusi? au hutaugua? unajuaje kama hakuchanjwa ama alichanjwa? bwashee siku ikifika hata ufanyeje utaondoka tu.

Suala la chanjo si rahisi kama unavyodhani.

Ndiyo maana kila fani ina wataalamu wake.

Mwulize ACP Kingai kupata mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…