TANZIA Mzee Muhidin Ndolanga afariki dunia, aliwahi kuhudumu kama rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

Maswali na majibu kati yake na Maulid Kitenge yalisisimua sana enzi hizo. Nanukuu: "Tulia bwana mdogo, hutuongei kama bata pa pa pa pa...." RIP mzee Ndolanga
 
Hizo chanjo za ndui,surua,polio,ukoma nk ulizochoma tangu utotoni Wazazi wako walidhithibitisha?
Hapana ila hawakusainishwa mahali popote kwamba yakitokea madhara serikali haitahusika.
Bado una swali?
 
Bado hujihurumii tu na kuwa uko vizuri?!
Mimi sijihurumii,kwa nini wewe unihurumie? Huvijui vituo vya watoto yatima ukaenda kuwahurumia,unahangaika na mimi mwenye uwezo wa kupata komputa kuingia jamii forume,are you serious?
 
Mimi sijihurumii,kwa nini wewe unihurumie? Huvijui vituo vya watoto yatima ukaenda kuwahurumia,unahangaika na mimi mwenye uwezo wa kupata komputa kuingia jamii forume,are you serious?

Wapi umeona ninakuhurumia au hata nmekuhurumia?

Usiniwekee maneno mdomoni mwangu tafadhali!
 
Waliolegea wanafahamika,kama unadhani natania angalia wangapi wamechanjwa mpaka janana hapo bado chanjo ni bure

Nionavyo waliolegea wako hapa:

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa hiyo Marehemu hakuchanja
 
Serikali imesema chanjo ni hiyari.
Na kusisitizia hilo wewe mwenyewe unasema/ au kuandika kwamba chanjo iwe lazima.

Sasa watu wakufute wewe au ?? Zaidi ya hapo tumekuuliza Marehemu hakuchanja.
Hutaki kujibu unakimbilia ujuzi ambao upo kichwani kwako sio kwamba kila mtu anao.
 

Wewe si tulishafika comment #86?



Hii ikiwa tumepitia pia comments #37 na #59 ambapo unayouliza sasa yalishajibiwa.

Huku kujitoa kwako ufahamu, kwa hakika ni wa kipaji cha kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…