KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Dec 10, 2010 #1 Mzee Mwanakijiji tunaona ukituma tu hadithi zako huku, lakini hatukuoni ukichangia kwenye mabandiko ya watu wengine, je kulikoni??
Mzee Mwanakijiji tunaona ukituma tu hadithi zako huku, lakini hatukuoni ukichangia kwenye mabandiko ya watu wengine, je kulikoni??
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 10, 2010 #2 Mbona unamaswali sana, kama mtoto wa shule aliyenyimwa hela ya vibama. hebu kaa chini na ujifunze kuandika kwa umakini.
Mbona unamaswali sana, kama mtoto wa shule aliyenyimwa hela ya vibama. hebu kaa chini na ujifunze kuandika kwa umakini.
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,624 Reaction score 21,362 Dec 10, 2010 #3 Bujibuji said: Mbona unamaswali sana, kama mtoto wa shule aliyenyimwa hela ya vibama. hebu kaa chini na ujifunze kuandika kwa umakini. Click to expand... punguza jazba kaka duh
Bujibuji said: Mbona unamaswali sana, kama mtoto wa shule aliyenyimwa hela ya vibama. hebu kaa chini na ujifunze kuandika kwa umakini. Click to expand... punguza jazba kaka duh
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 10, 2010 #4 Nshapoa mwana, tugange yajayo
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Dec 10, 2010 Thread starter #5 Bujibuji ana visa na mimi, mwache achonge kisha achoke, atatulia tu funzadume said: punguza jazba kaka duh Click to expand...
Bujibuji ana visa na mimi, mwache achonge kisha achoke, atatulia tu funzadume said: punguza jazba kaka duh Click to expand...
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Dec 10, 2010 #6 Yuko busy na jitihada za kuikwamua nchi hii mikononi mwa mafisadi
M masaiti Senior Member Joined Jun 16, 2008 Posts 196 Reaction score 22 Dec 10, 2010 #7 Heading yako na habari yenyewe sijavielewa, kwani title ni Mzee Mwanakijiji na jukwaa la mapenzi. Ndani ni kitu tofauti, ulikuwa unamaanisha nini?
Heading yako na habari yenyewe sijavielewa, kwani title ni Mzee Mwanakijiji na jukwaa la mapenzi. Ndani ni kitu tofauti, ulikuwa unamaanisha nini?
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Dec 10, 2010 Thread starter #8 Malavedave.. ni kipi hujaelewa?
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Dec 10, 2010 #9 Mzee Mwanakiji mbona ni mshiriki mkubwa sana wa jukwaa la mahusiano? We hujabahatika tu kumfumania. Huwa nachangia sana, haswa yale mapenzi yanayoambatana na ile stali inayoitwa missionary
Mzee Mwanakiji mbona ni mshiriki mkubwa sana wa jukwaa la mahusiano? We hujabahatika tu kumfumania. Huwa nachangia sana, haswa yale mapenzi yanayoambatana na ile stali inayoitwa missionary