Mzee Mwanakijhi na Jukwaa la Mapenzi

Mzee Mwanakijhi na Jukwaa la Mapenzi

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Mzee Mwanakijiji tunaona ukituma tu hadithi zako huku, lakini hatukuoni ukichangia kwenye mabandiko ya watu wengine, je kulikoni??
 
Mbona unamaswali sana, kama mtoto wa shule aliyenyimwa hela ya vibama.
hebu kaa chini na ujifunze kuandika kwa umakini.
 
Yuko busy na jitihada za kuikwamua nchi hii mikononi mwa mafisadi
 
Heading yako na habari yenyewe sijavielewa, kwani title ni Mzee Mwanakijiji na jukwaa la mapenzi. Ndani ni kitu tofauti, ulikuwa unamaanisha nini?
 
Mzee Mwanakiji mbona ni mshiriki mkubwa sana wa jukwaa la mahusiano?
We hujabahatika tu kumfumania.
Huwa nachangia sana, haswa yale mapenzi yanayoambatana na ile stali inayoitwa missionary
 
Back
Top Bottom