Mzee Mwanakijiji alitarajia makubwa yasiyowezekana naona amepaniki

Mzee Mwanakijiji alitarajia makubwa yasiyowezekana naona amepaniki

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kwa uzoefu wangu wa humu jamvini na namna nilivyoshuhudia comments za wengi wetu humu jamvini ni kama vile Mzee Mwanakijiji aliaminishwa kuwa this time vurugu za uchaguzi zingepelekea kufutwa kwa uchaguzi au kuangushwa kwa Serikali.

Hili limenishangaza sana kwa mkongwe huyu anayejali hoja na maandishi kutaka kusheherekea vihoja na vurugu.

Hebu tulipe heshima jamvi kwa kuendelea kukosoa Serikali na upinzani kwa hoja na facts badala ya kugeuza jamvi kuwa ni platform ya kina Mange.
 
Wengi walidhani hivyo. Tulionya wakatudharau.
 
Back
Top Bottom