Mzee mwenzangu mpweke njoo tumalizie maisha pamoja

Status
Not open for further replies.

lostid

Member
Joined
Dec 6, 2020
Posts
32
Reaction score
27
Hello dear friends!

Nipo hapa kwenye hili jukwaa for the first time looking for a life partner wakumaliziana muda wetu wa maisha ulobaki hapa duniani. Ok sifa zangu ni hizi hapa. Am a woman of 33 yrs 5.6ft long, Christian, business woman, mweusi ila sio giza kabisa, 79kgs (weight) a single mother to one child, never married before. I have been single for a year now naona uvumilivu unaanza kunishinda hivyo nahitaji mtu special wakutulizana nae.

Any man from 40-45yrs namkaribisha anaehitaji rafiki badae mwenza wa maisha aje tujuane halafu mengine yatafuata kutokana na Mungu atakavyopenda iwe.

Pls I need only serious people jokes aside.
 
Napenda sana kuwa na mwanamke mpambanaji kama wewe! All the best.
 
I am 33 natafuta female sex partner
 
Ungeandika yoote hayo kwa lugha ya KIJITA ungenipata.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…