Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
wajumbe wa 1985 walimpa urais Mwinyi ili tu kuififisha nyota ya mwanadiplomasia na kipenzi cha Mwalimu - Salim Ahmed Salim - ambaye nyota yake ilionekana kuwafunika makada na magwiji wote chamani.Ni Jambo lililo wazi kwamba Mzee Mwinyi ni mtu mwema mpole mnyenyekevu na mkarimu asie na makuu. Alipaswa kuwa na nguvu baada ya Mwalimu kuondoka kwasababu ya kigezo cha seniority list.
Lakini maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo na kupewa Mkapa. Hebu fikiria mfano huu mdogo.
Eti yeye Mzee Mwinyi anamhusudu Magufuli na kwamaneno yake anaongoza nchi vizuri sana. Mbaya zaidi, anatamani hata tuvunje katiba ili Magufuli abaki madarakani. Kweli hii ni hadhi ya mtu kuwa na hadhi ya pili next from Nyerere?
Mkapa deserved it kwasababu alithubutu kumkemea JPM waziwazi kama tu Mwalimu alivyofanya kwa Mwinyi.
Kenya walifuata ubepari sasa hivi ardhi yao inashikiliwa na wachache. Katika vitu vya kujivunia ni ardhi tuliyonayo ambayo ni sera za Nyerere.Nyerere alikuwa na akili ila akishindwa kutumia akili zake kipindi cha mwisho kuwa na maono juu ya uelekeo wa dunia kutoka ujamaa kwenda ubepari. Kiburi chake ndio kimesababisha hadi sasa tupo nyuma kimaendeleo.
Aliongea kuhusu viatuJana hakuongea?
Kwa tuliokuwepo Mwinyi alipokuwa rais, ilikuwa kichekesho! Alikuwa na upeo na ufahamu mdogo sana..Ni Jambo lililo wazi kwamba Mzee Mwinyi ni mtu mwema mpole mnyenyekevu na mkarimu asie na makuu. Alipaswa kuwa na nguvu baada ya Mwalimu kuondoka kwasababu ya kigezo cha seniority list.
Lakini maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo na kupewa Mkapa. Hebu fikiria mfano huu mdogo.
Eti yeye Mzee Mwinyi anamhusudu Magufuli na kwamaneno yake anaongoza nchi vizuri sana. Mbaya zaidi, anatamani hata tuvunje katiba ili Magufuli abaki madarakani. Kweli hii ni hadhi ya mtu kuwa na hadhi ya pili next from Nyerere?
Mkapa deserved it kwasababu alithubutu kumkemea JPM waziwazi kama tu Mwalimu alivyofanya kwa Mwinyi.
Kwa kweli mzee Mwinyi is a joker!Ni Jambo lililo wazi kwamba Mzee Mwinyi ni mtu mwema mpole mnyenyekevu na mkarimu asie na makuu. Alipaswa kuwa na nguvu baada ya Mwalimu kuondoka kwasababu ya kigezo cha seniority list.
Lakini maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo na kupewa Mkapa. Hebu fikiria mfano huu mdogo.
Eti yeye Mzee Mwinyi anamhusudu Magufuli na kwamaneno yake anaongoza nchi vizuri sana. Mbaya zaidi, anatamani hata tuvunje katiba ili Magufuli abaki madarakani. Kweli hii ni hadhi ya mtu kuwa na hadhi ya pili next from Nyerere?
Mkapa deserved it kwasababu alithubutu kumkemea JPM waziwazi kama tu Mwalimu alivyofanya kwa Mwinyi.
Hapa umemaliza kabisa!wajumbe wa 1985 walimpa urais Mwinyi ili tu kuififisha nyota ya mwanadiplomasia na kipenzi cha Mwalimu - Salim Ahmed Salim - ambaye nyota yake ilionekana kuwafunika makada na magwiji wote chamani.
apart from that, Mwinyi wasn't, has never been and will never ever be presidential material.
Nakufananisha na mtoto wa maskini anayelalamika baba yake ndiye kamfanya maskini.Nyerere alikuwa na akili ila akishindwa kutumia akili zake kipindi cha mwisho kuwa na maono juu ya uelekeo wa dunia kutoka ujamaa kwenda ubepari. Kiburi chake ndio kimesababisha hadi sasa tupo nyuma kimaendeleo.
Watoto wa generation hii hamuwezi kujua mchango wa Mzee Mwinyi katika ya Tanzania, Sisi ndio tunajua, chuki zako dhidi ya rais wa sasa usizitumie kumchafua mzee wetu,
Kaa na wazazi wake wakupe historia ya nchi yako vizuri.
Ni Jambo lililo wazi kwamba Mzee Mwinyi ni mtu mwema mpole mnyenyekevu na mkarimu asie na makuu. Alipaswa kuwa na nguvu baada ya Mwalimu kuondoka kwasababu ya kigezo cha seniority list.
Lakini maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo na kupewa Mkapa. Hebu fikiria mfano huu mdogo.
Eti yeye Mzee Mwinyi anamhusudu Magufuli na kwamaneno yake anaongoza nchi vizuri sana. Mbaya zaidi, anatamani hata tuvunje katiba ili Magufuli abaki madarakani. Kweli hii ni hadhi ya mtu kuwa na hadhi ya pili next from Nyerere?
Mkapa deserved it kwasababu alithubutu kumkemea JPM waziwazi kama tu Mwalimu alivyofanya kwa Mwinyi.
Wewe una sifa hizo? Magufuli anazo? Ingawa sikuwa na umri mkubwa wa kutambua nn Mwinyi amefanya ila ni yeye ambaye alileta mwanga katika nchi hii ambapo sasa Bidhaa muhimu zikawa zinapatikana, angalau sasa mishahra ikaanza kupanda taratibu. Vitu vingi vilikuja kwenye utawala wakewajumbe wa 1985 walimpa urais Mwinyi ili tu kuififisha nyota ya mwanadiplomasia na kipenzi cha Mwalimu - Salim Ahmed Salim - ambaye nyota yake ilionekana kuwafunika makada na magwiji wote chamani.
apart from that, Mwinyi wasn't, has never been and will never ever be presidential material.
We unaona huruma ni sababu DHAIFU? Huo ni moyo wa mtu.. ROHO mbaya si ya kujivuniaKwa tuliokuwepo Mwinyi alipokuwa rais, ilikuwa kichekesho! Alikuwa na upeo na ufahamu mdogo sana..
Alikuwa anaweza kuamua kumsamehe mfungwa wa ufisadi aliefungwa na akatoa sababu eti " mama wa fisadi alimfuata amalia sana mbele yake akamwonea huruma"
Mwinyi huyu anayejikomba kwa Jiwe ?Ni Jambo lililo wazi kwamba Mzee Mwinyi ni mtu mwema mpole mnyenyekevu na mkarimu asie na makuu. Alipaswa kuwa na nguvu baada ya Mwalimu kuondoka kwasababu ya kigezo cha seniority list.
Lakini maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo na kupewa Mkapa. Hebu fikiria mfano huu mdogo.
Eti yeye Mzee Mwinyi anamhusudu Magufuli na kwamaneno yake anaongoza nchi vizuri sana. Mbaya zaidi, anatamani hata tuvunje katiba ili Magufuli abaki madarakani. Kweli hii ni hadhi ya mtu kuwa na hadhi ya pili next from Nyerere?
Mkapa deserved it kwasababu alithubutu kumkemea JPM waziwazi kama tu Mwalimu alivyofanya kwa Mwinyi.
Umekosa mkuu, shida hapo sio huruma! Tafakari...We unaona huruma ni sababu DHAIFU? Huo ni moyo wa mtu.. ROHO mbaya si ya kujivunia
Aliitwa Ibrahim Said ama Said Ibrahi, kama sijapoteza kumbukumbuUnakumbuka jina la aliyempiga kibao?
Ingawa niliona kwenye tv hata sura sikumbuki nakumbuka jamaa alikua na baraghashia ila vazi sikumbuki kama ilikua kanzu ya hughurungi au shati jeupe na suruali nyeusi
Uzee umemnogea.Jana kwenye hotuba yake nilipatwa na mshangao, alimsifia sana mkapa kwa kukuza sana uchumi, then akaja kumsifia Magufuli kwa kuipeleka nchi mbele kwamba aliitoa nchi kubaya. Hii inamaanisha yeye Mwinyi na Kikwete waliiharibu nchi au sio?
MWINYI LIMEBAKI JINA TU NA UMBO. MTU ALIYEFIKIA NGAZI YA KUWA RAIS WA NCHI AKAAPA KUILINDA KATIBA, LEO ANASIMAMA MBELE YA DUNIA HADHARANI KUPENDEKEZA KATIBA IVUNJWE KIENYEJI ETI HILI DUDU LIENDELEE KUTUBURUZA! NTUMELICHOKA!Ni Jambo lililo wazi kwamba Mzee Mwinyi ni mtu mwema mpole mnyenyekevu na mkarimu asie na makuu. Alipaswa kuwa na nguvu baada ya Mwalimu kuondoka kwasababu ya kigezo cha seniority list.
Lakini maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo na kupewa Mkapa. Hebu fikiria mfano huu mdogo.
Eti yeye Mzee Mwinyi anamhusudu Magufuli na kwamaneno yake anaongoza nchi vizuri sana. Mbaya zaidi, anatamani hata tuvunje katiba ili Magufuli abaki madarakani. Kweli hii ni hadhi ya mtu kuwa na hadhi ya pili next from Nyerere?
Mkapa deserved it kwasababu alithubutu kumkemea JPM waziwazi kama tu Mwalimu alivyofanya kwa Mwinyi.
WEWE NI MTANZANIA? ULIFUATILIA HOTUBA YA HUYO MZEE JUZI KWENYE MKUTANO WA CCM DODOMA KUMCHAGUA RAIS WA ZANZIBAR NA KUMPITISHA M JIWE KUWA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM? KAMA HUJUI JAMBO USIJIDHALILISHE HADHARANI.Ni Wapi Mzee mwinyi alitamani "katiba ivunjwe" ili Magu aendelee???