Mzee Mwinyi ametoa kitabu' ':- Mzee Ruksa: Safari ya Maisha Yangu

Mzee Mwinyi ametoa kitabu' ':- Mzee Ruksa: Safari ya Maisha Yangu

Tz hii ukitoa tu kitabu,ni kama umejiandalia safari refer Mkapa na Mengi
 
Tayari karibu tumzike nae kaanza vitabu tena
 
Kuna bibi mmoja tulizika mwaka juzi, kafa na miaka 105, alikuwa nae anapoteza kumbukumbu
Ila kuna watu wengine hawapotezi hata kidogo. Shangazi yangu alikufariki akiwa akiwa na kumbukumbu zote na alikuwa na miaka 103.
 
Baada ya kuandika " A knight in Africa: A journey from Bukene" , Andy Chande aliishi muda mrefu tu!! Usimtishe Kikwete aache kumalizia kitabu chake!
Lakini mkuu si mzee alishakuwa mwendazake?
 
Kakiandika aje wakati anadai akipoteza kumbukumbu? Mwanasiasa kwa uongo, ati hamjui mwanae!
 
Kama anasema hana kumbukumbu kaandikaje,imenikumbusha story za kishoka ktk moja ya magazeti zamani
 
Back
Top Bottom