Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee, uzee wake umeanza kuwa kero sana kwa watu wengine.sasa itakuwaje
Huyu mzee bana, sasa angepata wapi hiyo Benz aliyopewa zawadi Jana😃😃😃😃? Maana Magu alikuwa mkaksi kweli"Mimi ni mzee sasa na maneno yangu pengine hudhaniwa ndoto za uzee. Ningetamani mambo mawili, moja la hakika lingine la kufikiriwa. La hakika tuwashawishi watanzania Rais wetu asipate kura ya kumkataa, mwenye kumkataa atupe sababu. La kufikirika ni kwamba nchi yetu inaendeshwa kwa Katiba na lazima tuienzi.
Lakini twaweza kuiahirisha kwa muda ili kumpa Rais Magufuli kipindi kingine kimoja cha asante kisha baadaye tuendelee vilevile, kwa sababu kuna mengi aliyonayo Magufuli akiondoka (baada miaka kumi) nchi itayakosa” Ali Hassan Mwinyi, Rais wa pili wa Tanzania na Rais wa 3 wa Zanzibar.
View attachment 1503855
NakaziaHuyu mzee, uzee wake umeanza kuwa kero sana kwa watu wengine.