Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile chama Saidizi Cha MbogambogaMsilete taarifa za vifo vya wenyeviti wa vijiji hapa. Huyu Mwinyi Makame alihudumu wapi?
Mbona unatoa pole huku ukichekelea kwenye avatar yako?R.I.P
Apumzike kwa amani hayati MakameView attachment 2393344
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.
Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
View attachment 2393344
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.
Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
Innalillahi Wainna ilayhi RajiuunView attachment 2393344
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.
Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar