TANZIA Mzee Mwinyihaji Makame Mwadini afariki dunia

TANZIA Mzee Mwinyihaji Makame Mwadini afariki dunia

View attachment 2393344
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.

Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
Alikuwa Muwakilishi Jimbo la Dimani kupitia CCM ,pia alikua Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu wakati wa Mh.Karume na Dkt Shein
 
Back
Top Bottom