TANZIA Mzee Mwinyihaji Makame Mwadini afariki dunia

View attachment 2393344
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.

Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
Innalillahi Wainna ilayhi Rajiuun

Allah amsamehe alipokosea na amwingize kwenye jannatul firdaws Aamin
 


SALAMU ZA RAMBIRAMBI TOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.

CCM imepokea kwa masikitiko na mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha Mheshimiwa Dkt. Mwinyi Haji Makame aliyewahi kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Dimani na Waziri katika Wizara mbalimbali, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar


#SisiniwaMwenyeziMungunakwakeTutarejea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…