TANZIA Mzee Mwinyihaji Makame Mwadini afariki dunia

Hayo macho yamefanania na shangazi yetu mkuu, naye ni mzenji ila alibahatika kupata kazi ya maana hapa hapa kwa ma chogo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2393344
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.

Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
Alikuwa Muwakilishi Jimbo la Dimani kupitia CCM ,pia alikua Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Ikulu wakati wa Mh.Karume na Dkt Shein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…