Hapa jamvini kwa utafiti wangu naona kuwa Mzee Mwanakijiji ndio member mzee kuliko wote hapa Jf (60 or above)
Na Temu ndio mdogo kuliko members wote (15 or below)...................................na nyinyi mnasemaje???
mimi je.....?....unanionaje.....?
Hahahaaaa hakuna aibu hapo lolMmm Shem!
Uso si uliumbwa na haya?
Wakwako vipi? Hauna!
Mmm Shem!
Uso si uliumbwa na haya?
Wakwako vipi? Hauna!
Pamoja na sunah! Basi ndiyo mjifanye below 16?haaa!!.....mtoto wa kike mashauzi sunah.....inahuuu..