Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Nasema hivii, hawa wazee waache mara moja
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
cc KaizerNasema hivii, hawa wazee waache mara moja
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe boss kuwa u mzee wa JFmimi ni mzee namba moja, mzee mwenzangu ni Asprin. mnajua maana ya uzee ni dawa?
Vijana mmezidi kuandika upupuWanaboa sana hawajui mambo yanabadilika tu..
Sent from my SM-G130HN using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe boss kuwa u mzee wa JF
Shikamoo mzee wa kitambo kweli aisee
Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
Salama Mkuu. Umepotea sana. Salamu kwa Mzee mwenzio @Aspirinduh habari ya masiku mkuu, long time hili jukwaaa nilikuwa sijapita
Zamani zetu wakati tunapigania uhuru hapakuwa na maswali kama haya yasiyo na msingi.habari za usiku wakuu mara nimekuwa nikijiuliza mzee ni yupi kwa upande wa jf?
1.ni mtu ambaye kila post ujifanya mtu wa longtime kulog in jf
2.ni mtu ambaye upenda kuchangia na kusema jf ya zamani haikua hivyo bila kujua mambo ubadilika..
3..ujifanya mtu wa ya juu na kila post ucomment maisha ya juu tu..
-TAHADHARI HAPA..unatumia if fake ukifa tutakujua tu....
Hawa kwangu ni wazee wa jf na wamepitwa na wakatii...
Hahaa babu naomba simu yakoUzee ni dawa kwa vijana wetu... ila kwa wachuchu uzee ni pensheni.
Na wasome hii wajukuu zetu Nifah Sakayo Numbisa espy Heaven Sent
Sent from my Siemens TwangaPepeta C25 Using JamiiForums Mobile Makinikia.
Mjukuu wangu angalia utakosa mchumba afu mi nikose mahariHahaa babu naomba simu yako
Nipe tu babuMjukuu wangu angalia utakosa mchumba afu mi nikose mahari
Nitajie jina la demu wako nimkagueHivi Asprin ni mzee pia? Mbona anaonekana ni mhunimhuni...!!!! Hawa ndio wazee wanaowatumbua madem zetu
Miss natafuta
Hapo umepata hasara tupuMiss natafuta