MZEE NI YUPI JF?

MZEE NI YUPI JF?

habari za usiku wakuu mara nimekuwa nikijiuliza mzee ni yupi kwa upande wa jf?

1.ni mtu ambaye kila post ujifanya mtu wa longtime kulog in jf

2.ni mtu ambaye upenda kuchangia na kusema jf ya zamani haikua hivyo bila kujua mambo ubadilika..

3..ujifanya mtu wa ya juu na kila post ucomment maisha ya juu tu..
-TAHADHARI HAPA..unatumia if fake ukifa tutakujua tu....

Hawa kwangu ni wazee wa jf na wamepitwa na wakatii...
Zamani zetu wakati tunapigania uhuru hapakuwa na maswali kama haya yasiyo na msingi.
 
Dah.... Uzee ni kushindwa kutumia herufi "h" ...... mfano.... "ujambo" badala ya "hujambo"[emoji87] [emoji87] [emoji41]

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
muhengaaaa

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Hivi Asprin ni mzee pia? Mbona anaonekana ni mhunimhuni...!!!! Hawa ndio wazee wanaowatumbua madem zetu
 
Nimekumbuka enzi hizo tunachat jambo huku tunasikiliza mziki wa dj
 
Back
Top Bottom