Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mtoto wa Jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mtoto wa Jf
[emoji1] [emoji1] haya bana..jambo forumKijana usibishie wazee. Siku hizi mnaleta ufacebook humu. Wazee wa Jambo forums
Mzee jf kwani awe ampjoin kuanzia mwaka upiAiseee yaani hamthamini michango ya wazee
Umeona eeeh...ni WAZEE TU HAOUtasikia wakisema shule zinafunguliwa lini
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Angalia profile ya Kaizer alijiunga lini JF alafu tafakari huo mwaka JF ilikuwa inapatikana kwa style gani maana kulikuwa hakuna bundle la chekaMzee jf kwani awe ampjoin kuanzia mwaka upi
Sent from my SM-G130HN using JamiiForums mobile app
Mzee tulimaanisha ni muda wa kujoin jf kama ww mkuu...Mkuu tusaidie kuweka vizuri tafsiri ya neno MZEE ulivyolichukulia. Mzee mtu mwenye umri mrefu, kala chumvi nyingi au ni tofauti na hiyo?
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Kumbe we wa juzi eehwanakera kweli utaskia JF zamani haikuwa hivi
kila kitu kina badilika duniani wao wanataka jf ibaki vile vile
hahahha ,mie nipo group la uzee mkuu!
Shikamoo mzee wa kitambo kweli aiseemimi ni mzee namba moja, mzee mwenzangu ni Asprin. mnajua maana ya uzee ni dawa?