Mzee pekee mwenye uhalali wa kushauri na kuliokoa Taifa la Tanzania ni Mstaafu Joseph Sinde Warioba

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,322
Reaction score
3,648
Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu akupe maisha marefu Mzee Warioba.
 
Wahuni hawampendi warioba,ndio mana walimtuma Basite amakate makofi.

Ila kimsingi Hii nchi vijana ndio tatizo hao wazee watashauri ila wa kuchukua maamuzi ya kupindua meza ni vijana.
 
Warioba na Butiku hawako neutral wanafungamana na upinzani
 
Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu akupe maisha marefu Mzee Warioba.
Unataka tena mzee wa watu azabwe vibao na akina Paul Makonda??
 
Back
Top Bottom