Asante mkuu sikuwaza hilo, passport try unaingia Caribbean na South Africa na shit hole countiesNi zaidi kwenye nini kasema?
Navyojua, Uthamani wa hati ni idadi ya boundaries unazoruhusiwa kupita nayo. Zingine ni sifa za nyongeza tu.
Ni sawa na useme pesa yetu ni zaidi ya dollar kwa muonekano ila si thamani.
Anamuogopa Mzee BabaHuyu mzee amerogwa na nani sijui
muonekano ni mzuri ila kwa uzaidi ya mshelimsheli, botswana,Namibia, mswati wanatuacha mbali saana.Asante mkuu sikuwaza hilo, passport try unaingia Caribbean na South Africa na shit hole counties
Angalia vizuri key-board ya Pc au simu.Akiwa amesindikizwa na mkewe Jaqueline mzee Mengi anajivunia ujio wa passport zetu. Wale wa makuu ni kweli passport yetu umri Shonda ya Uingereza?
Tunaweza juwashinda kwa passport lakini wenzetu kwenye mipingo yao wako makini sana. Hawana bomoa bomoa za kuacha raia hawana pa kukaa na pasi kifuta jasho.
Uhakika wa matibabu upo na wala si mpaka uwe bums ya afya
Mikopo ya elimu ni kwa wote, hata kaka mkubwa Le Mutuz akiamua kuingeza degree ya nne na ya tano anapata mkopo
Kama balozi wa nyumba 10 alivyo surrender kwa cheupe.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Alipata ambush baada ya hapo amesarrender
exactly [emoji122]Ni zaidi kwenye nini kasema?
Navyojua, Uthamani wa hati ni idadi ya boundaries unazoruhusiwa kupita nayo. Zingine ni sifa za nyongeza tu.
Ni sawa na useme pesa yetu ni zaidi ya dollar kwa muonekano ila si thamani.
We nawe akili hata huna...mzee kamng'ong'a sizonje hiyo comment yake ni very sarcastic!huyo mzee nae anataka sympath ya jpm tu amalize uzee wake, eti passport ya TZ ni zaidi ya passport ya Uingereza...hahaha
kweli sizonje kawashika pabaya watasifia hadi visivyo stahili sifa.
Reginal Mengi ni mgonjwaUkiangalia video Mengi anaonekana anaongea kwa dhihaka