Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Akiwa amesindikizwa na mkewe Jaqueline mzee Mengi anajivunia ujio wa passport zetu. Wale wa majuu ni kweli passport yetu ina Shonda ya Uingereza?
Tunaweza juwashinda kwa passport lakini wenzetu kwenye mipango yao wako makini sana. Hawana bomoa bomoa za kuacha raia hawana pa kukaa na pasi kifuta jasho.
Uhakika wa matibabu upo na wala si mpaka uwe bums ya afya
Mikopo ya elimu ni kwa wote, hata kaka mkubwa Le Mutuz akiamua kuingeza degree ya nne na ya tano anapata mkopo