Mzee Reginald Mengi anasema passport ya Tanzania ni zaidi ya passport ya Uingereza

Asante sana
 
Ni zaidi kwenye nini kasema?

Navyojua, Uthamani wa hati ni idadi ya boundaries unazoruhusiwa kupita nayo. Zingine ni sifa za nyongeza tu.

Ni sawa na useme pesa yetu ni zaidi ya dollar kwa muonekano ila si thamani.
Kwa sababu hazienda nchi nyingi visa free basi zisiwe salama?

Ni sawa na kusema sababu nyumba yangu haina wageni wengi au huwa siendi popote Basi sihitaji ulinzi na usalama

Mbona hamkulalamika leseni za gari zilipobadilishwa kuwa digital? Nini kimebadilika baada ya leseni kuwa digital? Ni Bora leseni za Sasa au za zamani
 
Well said
Tujifunze kujithamini jamani!
 
Itakuwa kuna sababu imempelekea kusema hayo.. sasa ni nyie wabishi na wakosoaji kusaka hizo habari juu ya hizi passport. Siwaletei.. nataka nione mnajiongeza sio kuwa wapiga ramli tu kwa kila kitu maana mnatia aibu na mjichekr haswa haswaaaa
 
The issue hapa ni kusema ina ubora kuliko passport ya Uingereza
 

Umeniqoute ikabidi nizoom ID yako.

sijui hata nikujibu nini maana nilichocomment na ulichokuja kuqoute kwangu haviendani.

Jitahidi, usome uelewe na utafakari alichoandika mwenzako.

Hakuna sehemu nimeongelea usalama wa hati.

Hakuna sehemu nilipolalamika.

Umejitungia wazo ukalitolea maoni, ukajiuliza maswali, ukajijibu, ukahitimisha. Kai kai
 

Sababu hukuongelea usalama ndo maana nimekuquote

Umeongela mambo mengine ambayo hayahusiani kabisa na wanachojaribu kufanya kwenye hizi pasi mpya. Umechangia kitu usichokujia na kuuliza swali irrelevant

Security ya hizi pasi mpya imekua enhanced that's it. Zimekua digital kama leseni za gari. Wewe umekuja na mambo ya visa free, sababu hazienda nchi nyingi visa free ndo zisiwe salama?
 
The issue hapa ni kusema ina ubora kuliko passport ya Uingereza
Inawezekana. Inabidi kujua in details passport za England na hizi zetu mpya ndo tunaweza kujibu Hilo swali, labda Mzee Mengi ana info zaidi
 

Mada inasema mzee mengi akasema passport ya Tanzania inaizidi ya uingereza.

Mwanzo kabisa nikauliza kuizidi kwenye nini and tha was my tackle quest.

Nimechangia kitu nisichokijua.
Sijui nini sasa pass! umuhimu wake, mahusiano ya visa free na pass au nini. Au wajiona wewe kisa unamiliki kitabu wengine siye tunachunga yakhee.

Unazidi kuuliza jambo ambalo sijaliuliza... tusijitengenezee viaidiaa nje ya mada ili tu tuonekane tunajua viiiiingiiii.

Swali langu, muonekano wa pass unaongeza nguvu yake? nilitaka kujua hili kwa undani wake na sio unachoendelea kuandika.
 
Inawezekana. Inabidi kujua in details passport za England na hizi zetu mpya ndo tunaweza kujibu Hilo swali, labda Mzee Mengi ana info zaidi
Ubora wa hati ni upi? Ili hati iwe bora tunaangalia nini?

Ila awali batamani kujua Mengi akimaanisha ubora wa nini rangi, ugumu wa hati yenyewe hata ukiweka kwenye maji....
 
Inawezekana. Inabidi kujua in details passport za England na hizi zetu mpya ndo tunaweza kujibu Hilo swali, labda Mzee Mengi ana info zaidi
Ninachofahamu passport za Uingereza zilikuwa biometric zaidi ya miaka kumi iliyopita, raia wanaorudi nyumbani wanascan fingerprints tu na information zako zote zinatokea kwenye screen na hiyo ni self check in-out huhitzji afisa wa immigration. Ninadhani hata Marekani ni hivyo kwahiyo tumeingia kwenye digital world lakin sisi hatujaanza.
 
Kwanza huwezi kuilinganisha hati yenye visa-free nchi 157+ huku wewe unazo 70 na nchi zenyewe hazieleweki. Wenzetu tujilinganishe nao mengine ila sio technology otherwise kujifariji.
 

Mkuu hakuna aliyesema sisi ni wakwanza ila sababu zetu na nchi nyingi ambazo zimeanza kufanya haya mabadiliko hivi karibuni basi kuna uwezekano zetu zikawa bora sababu zimeboreshwa zaidi, kama ulivyosema za UK na USA zipo hivyo for over ten yrs, mambo mengi hasa technology imebadirika sana ndani ya miaka 10.

Nitakupa mfano, TZ kwa miaka mingi sana tumekua na ATM cards za bank bora na secured sana kuliko nchi nyingi tu za western hasa USA. ATM cards zetu zenye chip ni secured kuliko zisizo na chip ambazo kwa miaka mingi ndo zimekua zikitumika USA, leo hii USA banks karibu zote zinabadilisha cards zao kuwa zenye chip kitu ambacho sisi tumekua nacho for over 10 yrs, sababu zao ni mpya basi kuna uwezekano zikawa even more secured kuliko zetu.
 
Mkuu kila ukirenew passport unapewa latest version. Tumeingia ndiyo lakini si kitu cha ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…