Mkuu hakuna aliyesema sisi ni wakwanza ila sababu zetu na nchi nyingi ambazo zimeanza kufanya haya mabadiliko hivi karibuni basi kuna uwezekano zetu zikawa bora sababu zimeboreshwa zaidi, kama ulivyosema za UK na USA zipo hivyo for over ten yrs, mambo mengi hasa technology imebadirika sana ndani ya miaka 10.
Nitakupa mfano, TZ kwa miaka mingi sana tumekua na ATM cards za bank bora na secured sana kuliko nchi nyingi tu za western hasa USA. ATM cards zetu zenye chip ni secured kuliko zisizo na chip ambazo kwa miaka mingi ndo zimekua zikitumika USA, leo hii USA banks karibu zote zinabadilisha cards zao kuwa zenye chip kitu ambacho sisi tumekua nacho for over 10 yrs, sababu zao ni mpya basi kuna uwezekano zikawa even more secured kuliko zetu.