Huyu mzee hata kukusanya kodi tuu ilikuwa inamshinda mpaka wakakata misaada kulazimishwa akusanye kodi kwanza,yaani rushwa na ufisadi enzi zake ulikuwa ndio order of the day then leo say what?huyu mzee kwa style yake alijenga matabaka ya maskini na mafisadi matajiri na hatari yake watu wangeweza kuingia msituni,kipindi chake kuulikuwa hakuna haki kuanzia polisi,mahakamani na idara zote za serikali yaani mwenye nazo ndio alikuwa na haki,kupata passport tuu ilikuwa lazima utoe rushwa,bandarini kulikuwa kumeoza,tulilishwa vyakula vibovu vyenye sumu,polisi waligeuka wafanyabiashara,serikali ilikuwa ni miradi ya watu,kulikuwa hakuna sheria wakati wake ilikuwa ni ufisadi tuu anyway tunaangalia mbele na mchango wake unakaribishwa kupambana na mafisadi kama ana nia hiyo kweli!