Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Mpira unahitaji uwekezaji na sio uhamasishaji pekee.Leo hii imedhihirika katika mechi na Zambia.
Pamoja na timu ya zambia kuonekana kupoteza matumaini kwa kucheza pungufu na kadi kibao za njano lakini wapi bwana!!!....bado kichwa cha mwendawazimu kimenyolewa.
Kwa mechi hii ya leo mmethibitisha udhaifu mkubwa, hata asiye kuwa mtaalamu wa mpira anaweza kubaini.
Tunasafari ndefu ya kujenga timu imara ya Taifa yenye muunganiko wenye viwango.
Fungu kubwa wanapewa waropokaji huku maandalizi kwaajili ya michuano yakiwa duni tena kwa kutembezaa bakuli