TANZIA Mzee Shareef Al Mandal Amefariki Dunia

TANZIA Mzee Shareef Al Mandal Amefariki Dunia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Mzee Shareef Al Ahdal ambaye ni Baba Mzazi wa Sheikh Nudreen Kishk na Shareef Abdurgadil Al Andal amefariki majira ya saa sita mchana Wilayani Temeke

Mazishi yake ni leo baada ya alasiri na ataswaliwa Masjid Maamur.

Atazikwa makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam.

Mtanzania digital
 
Mzee Shareef Al Andal ambaye ni Baba Mzazi wa Sheikh Nudreen Kishk na Shareef Abdurgadil Al Andal amefariki majira ya saa sita mchana Wilayani Temeke

Mazishi yake ni leo baada ya alasiri na ataswaliwa Masjid Maamur

Atazikwa makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam

Mtanzania
Hii habari ni ya leo kweli?
 
Okay labda kwa kuwa hawajaandika tarehe lakini mwandishi nadhani hajatumia maneno sahihi kufikisha ujumbe.

Washwahili mtanirekebisha kama nakosea.
Tangazo limetolewa na wahusika na gazeti la Mtanzania limewasilisha tangazo hilo asubuhi ya leo saa 2:42 bila kuongeza wala kupunguza neno
 
Mzee Shareef Al Ahdal ambaye ni Baba Mzazi wa Sheikh Nudreen Kishk na Shareef Abdurgadil Al Andal amefariki majira ya saa sita mchana Wilayani Temeke

Mazishi yake ni leo baada ya alasiri na ataswaliwa Masjid Maamur

Atazikwa makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam

Mtanzania
Mhh hii habari pamoja na nia yako nzuri labda sio ya leo maana saa hizi hata mchana haijafika na wewe unasema kafariki saa 6 mchana. Katika mambo ya kuzingatia hasa ya kuandikia misiba hayaihitaji haraka.
 
Mzee Shareef Al Ahdal ambaye ni Baba Mzazi wa Sheikh Nudreen Kishk na Shareef Abdurgadil Al Andal amefariki majira ya saa sita mchana Wilayani Temeke

Mazishi yake ni leo baada ya alasiri na ataswaliwa Masjid Maamur

Atazikwa makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam

Mtanzania digital
Mheshimiwa Rais hatohudhuria baadae?
 
Inna lillah wainna ilayh raajiun,nafikiri amezikwa jana
 
Mbona ubini Ni tofauti?! Huyu alhadai huyu kishki inakuwaj app?!
 
Back
Top Bottom