TANZIA Mzee Shareef Al Mandal Amefariki Dunia

TANZIA Mzee Shareef Al Mandal Amefariki Dunia

Tangazo limetolewa na wahusika na gazeti la Mtanzania limewasilisha tangazo hilo asubuhi ya leo saa 2:42 bila kuongeza wala kupunguza neno
Hamkulisoma mkakimbia mbio kulitoa. Hata watoa matangazo wanapaswa kushauriwa kama kuna ukakasi. Ona sasa mnapopolewa ninyi mwenye tangazo ametulia.
 
Afande Sele angeshiriki kwenye shuhuli ya kumsitiri mzee wetu ingekuwa poa kinoma. Peace and Love!
 
Mzee Shareef Al Ahdal ambaye ni Baba Mzazi wa Sheikh Nudreen Kishk na Shareef Abdurgadil Al Andal amefariki majira ya saa sita mchana Wilayani Temeke

Mazishi yake ni leo baada ya alasiri na ataswaliwa Masjid Maamur.

Atazikwa makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam.

Mtanzania digital
Inna lillahi wainna illayhi rrajiuun.....
 
Kuna Siri gani makaburi ya Kisutu Dar. Sijawahi kuona kibaka au kajambanani amezikwa pale.

Ni viongozi wa serikali, matajiri na wakuu wa miskiti. Why huu upendeleo?
 
Makaburi ya Kisutu yana muda gani.
Huwa hayajai? Pana space kubwa sana kama Sinza makaburini itakua.
 
Back
Top Bottom