TANZIA Mzee Shareef Al Mandal Amefariki Dunia

Tangazo limetolewa na wahusika na gazeti la Mtanzania limewasilisha tangazo hilo asubuhi ya leo saa 2:42 bila kuongeza wala kupunguza neno
Hamkulisoma mkakimbia mbio kulitoa. Hata watoa matangazo wanapaswa kushauriwa kama kuna ukakasi. Ona sasa mnapopolewa ninyi mwenye tangazo ametulia.
 
Afande Sele angeshiriki kwenye shuhuli ya kumsitiri mzee wetu ingekuwa poa kinoma. Peace and Love!
 
Inna lillahi wainna illayhi rrajiuun.....
 
Kuna Siri gani makaburi ya Kisutu Dar. Sijawahi kuona kibaka au kajambanani amezikwa pale.

Ni viongozi wa serikali, matajiri na wakuu wa miskiti. Why huu upendeleo?
 
Makaburi ya Kisutu yana muda gani.
Huwa hayajai? Pana space kubwa sana kama Sinza makaburini itakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…