Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Itakuwa aibu kubwa sana kwa watu wenye akili timamu kuchagua wabunge wa CHADEMA

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kama kawaida yake mzee huyu huwa hapendi kumumunya maneno, muda wote yupo busy akifanya shughuli yake inayompatia kipato. Na hapa ndipo huwa anaamua kushusha nondo za ukweli.

Waliokuwa wabunge wa CHADEMA walivuta posho za kujikimu na kisha kuingia mitaani na kusingizia kuwa wameenda kujiweka karantini, ili kujikinga na janga la Corona virus. Na wengi wao walidanganya kuwa wapo Dodoma.

Lakini Paul Makonda mwanasiasa machachari wa CCM alipowatia jambajamba kuwa ndani ya masaa 24 atawaweka ndani. Kila mtu alipigwa na butwaa. Maana watu walidhani wabunge wa CHADEMA wapo karantini, kumbe wapo Dar na mikoa mingine wakila bata na kuzitafuna pesa za walipa kodi wavuja jasho ambazo walilipwa ili kuwawakilisha bungeni.

Mzee Shomari anasema wabunge wa CCM walikomaa mpaka mwisho na kuhakikisha wanapitisha bajeti. Wabunge wa CHADEMA hawakushiriki kabisa kupitisha bajeti ambayo ina manufaa kwa watanzania. Kwa sababu hii ni wazi kabisa mbunge yoyote anayegombea kupitia CHADEMA hastahili kuchaguliwa maana wapo kwa ajili ya pesa za kujikimu na kujaza matumbo yao. Hivyo mzee Shomari amewaasa watanzania wasimpe ubunge mgombea yoyote wa CHADEMA. Na inavyoonekana Oktoba ikifika watavuna usaliti waliofanya.
 
Hivi kwa nini kila mpumbavu akitaka kuandika kuandika upumbavu wake anatumia jina la Kiislam? Kwa nini awe Mzee Shomari na siyo Mzee Polycarp?
We la msingi chukua ujumbe wake tu. Mambo ya udini achana nayo. Tumia akili timamu,usichague wasaliti.
 
Kumbuka pia Ndugai anasema wao CCM lengo si kupata wabunge wenye ujuzi wa kujenga hoja vizuri na kuibana serikali bali wao haja yao ni kupata wabunge theluthi mbili ili waweze kupitisha chochote.

Sasa ukiangalia mfumo wa bunge letu maamuzi mengi hayaitaji hiyo theluthi mbili,yanaihitaji wingi tu wawatakao unga mkono. Maamuzi yakuhitaji theluthi mbili ya wabunge ni machache lakini yenye athari kubwa kwa nchi, ukichunguza sana lengo lao ni Ikiwa Magufuri atashinda na wakifanikiwa kupata wabunge wanaotosheleza theluthi mbili basi wamejipanga kubadili katiba waweze kumpa Magufuli urais wa Milele.

Wabunge wa CHADEMA ndio pekee huingia bungeni kutetea na kupigania masilahi ya Mtanzania. CCM wao hata kama mtu wa ajabu ajabu tu akiweza kushinda wanampitisha kwa kuwa shida yao ni kupata theluthi mbili.

Mwambie huyo Mzee wako Shomari tunahitaji watu watakaokwenda kutusemea Bungeni.
 
Kama kawaida yake mzee huyu huwa hapendi kumumunya maneno, muda wote yupo busy akifanya shughuli yake inayompatia kipato. Na hapa ndipo huwa anaamua kushusha nondo za ukweli.

Waliokuwa wabunge wa Chadema walivuta posho za kujikimu na kisha kuingia mitaani na kusingizia kuwa wameenda kujiweka karantini,ili kujikinga na janga la Corona virus. Na wengi wao walidanganya kuwa wapo Dodoma.

Lakini Paul Makonda mwanasiasa machachari wa Ccm alipowatia jambajamba kuwa ndani ya masaa 24 atawaweka ndani. Kila mtu alipigwa na butwaa. Maana watu walidhani wabunge wa Chadema wapo karantini, kumbe wapo Dar na mikoa mingine wakila bata na kuzitafuna pesa za walipa kodi wavuja jasho ambazo walilipwa ili kuwawakilisha bungeni.

Mzee Shomari anasema wabunge wa Ccm walikomaa mpaka mwisho na kuhakikisha wanapitisha bajeti.
Wabunge wa Chadema hawakushiriki kabisa kupitisha bajeti ambayo ina manufaa kwa watanzania. Kwa sababu hii ni wazi kabisa mbunge yoyote anayegombea kupitia Chadema hastahili kuchaguliwa,maana wapo kwa ajili ya pesa za kujikimu na kujaza matumbo yao. Hivyo mzee Shomari amewaasa watanzania wasimpe ubunge mgombea yoyote wa Chadema. Na inabyonekana Oktoba ikifika watavuna usaliti waliofanya.

Simfahamu huyo mzee, lakini nafikiri amechanganyikiwa. Mwenda wazimu ni yule ambaye anashindwa kujitambua na kutambua majira na nyakati.
Kwa kauli zake yawezekana hajitambui kuwa yeye ni wa kike au wa kiume.
 
Shomari ni Nani?? Mana uzee humfika yeyote tu ili mradi alizaliwq uzee huja tu hauombwi wala hausomewi...hilo halimanishi kila aliezeeeka ana akili sana au mawazo mazuri sana.
Kwani haya aliyosema ni uongo? Kwani hawakuvuta mpunga na kula kona?
 
Kama kawaida yake mzee huyu huwa hapendi kumumunya maneno, muda wote yupo busy akifanya shughuli yake inayompatia kipato. Na hapa ndipo huwa anaamua kushusha nondo za ukweli.

Waliokuwa wabunge wa Chadema walivuta posho za kujikimu na kisha kuingia mitaani na kusingizia kuwa wameenda kujiweka karantini,ili kujikinga na janga la Corona virus. Na wengi wao walidanganya kuwa wapo Dodoma.

Lakini Paul Makonda mwanasiasa machachari wa Ccm alipowatia jambajamba kuwa ndani ya masaa 24 atawaweka ndani. Kila mtu alipigwa na butwaa. Maana watu walidhani wabunge wa Chadema wapo karantini, kumbe wapo Dar na mikoa mingine wakila bata na kuzitafuna pesa za walipa kodi wavuja jasho ambazo walilipwa ili kuwawakilisha bungeni.

Mzee Shomari anasema wabunge wa Ccm walikomaa mpaka mwisho na kuhakikisha wanapitisha bajeti.
Wabunge wa Chadema hawakushiriki kabisa kupitisha bajeti ambayo ina manufaa kwa watanzania. Kwa sababu hii ni wazi kabisa mbunge yoyote anayegombea kupitia Chadema hastahili kuchaguliwa,maana wapo kwa ajili ya pesa za kujikimu na kujaza matumbo yao. Hivyo mzee Shomari amewaasa watanzania wasimpe ubunge mgombea yoyote wa Chadema. Na inabyonekana Oktoba ikifika watavuna usaliti waliofanya.
Watu wenye maoni ya aina hii ni wale wenye kuathirika kutokana na kutokukimbizwa kwa mwenge wa uhuru mwaka huu. CCM kwa kukosa "succession plan" imejikuta ikiendelea bila ya kuwa dira na ushauri mbovu kutoka kwa wazee waliokuwa "political hangover".

Ukweli kuhusu jambo hili hata marehemu Kolimba aliwahi kuligusia kwa kuwa na mashaka juu ya siku za mbele za CCM. Mashaka haya yajidhihirisha kwa aina ya ulshauri wa aina ya huyu sasa Shomari na yule Mzee Mgaya wa Yohana Mbatizaji.

Pengine hii ni kutokana na "senility reasons" kwa umri umeenda sana, na ni ndiyo maana wanajkuta wamepitwa na mambo mengi ya msingi yanayopaswa kufanyika hapa nchini. Wao CCM ndiyo kimbilio lao pekee, hawatambui kabisa chama hiki ni mufilisi kifikra na kimaono kwa ajili ya mustakabali wa Taifa letu.
 
Kwani wewe uliona ni sawa wabunge kuchukua pesa za kujikimu kisha kukimbilia Dar na kula bata?
 
Kumbuka pia Ndugai anasema wao CCM lengo si kupata wabunge wenye ujuzi wa kujenga hoja vizuri na kuibana serikali bali wao haja yao ni kupata wabunge theluthi mbili ili waweze kupitisha chochote.

Sasa ukiangalia mfumo wa bunge letu maamuzi mengi hayaitaji hiyo theluthi mbili,yanaihitaji wingi tu wawatakao unga mkono. Maamuzi yakuhitaji theluthi mbili ya wabunge ni machache lakini yenye athari kubwa kwa nchi, ukichunguza sana lengo lao ni Ikiwa Magufuri atashinda na wakifanikiwa kupata wabunge wanaotosheleza theluthi mbili basi wamejipanga kubadili katiba waweze kumpa Magufuli urais wa Milele.

Wabunge wa CHADEMA ndio pekee huingia bungeni kutetea na kupigania masilahi ya Mtanzania. CCM wao hata kama mtu wa ajabu ajabu tu akiweza kushinda wanampitisha kwa kuwa shida yao ni kupata theluthi mbili.

Mwambie huyo Mzee wako Shomari tunahitaji watu watakaokwenda kutusemea Bungeni.
Kama ni watatezi wa wananchi mbona walivuta posho alafu wakala kona na kwenda kula bata?
 
Aibu kubwa ni kuichagua ccm ambayo haijui kwanini Tanzania ni maskini!!
 
Kumtukana huyu mzee haisadii. Je ni kweli au si kweli juu ya uhuni waliofanya wabunge wa Chadema?

Corona lilikuwa janga ambalo halikutegemewa na hakuna aliyekuwa na uzoefu nalo!Kila mtu alipambana kwa namna yake kutokana na kutojua ugonjwa huu kwa kina!

Wabunge wa upinzani nao wakaona watoke bungeni kwa muda maana gonjwa lilikuwa limebisha hodi huko!Wengine wakabaki na bahati mbaya wawili wakafa!

Kama walivyofanya wapinzani,JPM naye aliikimbia ikulu ya DSM na kwenda Dodoma,hii ilikuwa baada ya gonjaa kutua dar!Virus walipotinga Dodoma,JPM akakimbilia Chato na akajificha huko kwa zaidi ya mwezi!

Kama huyu mzee anasema tusichague wabunge kwa sababu ya kukimbia Corona,basi awaambie wasimchague JPM pia maana na yeye alikimbia ikulu na kwenda kujificha Chato mpaka alipogundua gonjwa sio tishio!
 
Back
Top Bottom