NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Lakini uwezekano wa kuwa na mwanga wa milele si upo kama Bwana akipendezwa?Huko sasa tunamuachia Mungu hatudhubutu kusema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini uwezekano wa kuwa na mwanga wa milele si upo kama Bwana akipendezwa?Huko sasa tunamuachia Mungu hatudhubutu kusema
Ameongea ukweli.Kama kawaida yake mzee huyu huwa hapendi kumumunya maneno, muda wote yupo busy akifanya shughuli yake inayompatia kipato. Na hapa ndipo huwa anaamua kushusha nondo za ukweli.
Waliokuwa wabunge wa CHADEMA walivuta posho za kujikimu na kisha kuingia mitaani na kusingizia kuwa wameenda kujiweka karantini, ili kujikinga na janga la Corona virus. Na wengi wao walidanganya kuwa wapo Dodoma.
Lakini Paul Makonda mwanasiasa machachari wa CCM alipowatia jambajamba kuwa ndani ya masaa 24 atawaweka ndani. Kila mtu alipigwa na butwaa. Maana watu walidhani wabunge wa CHADEMA wapo karantini, kumbe wapo Dar na mikoa mingine wakila bata na kuzitafuna pesa za walipa kodi wavuja jasho ambazo walilipwa ili kuwawakilisha bungeni.
Mzee Shomari anasema wabunge wa CCM walikomaa mpaka mwisho na kuhakikisha wanapitisha bajeti. Wabunge wa CHADEMA hawakushiriki kabisa kupitisha bajeti ambayo ina manufaa kwa watanzania. Kwa sababu hii ni wazi kabisa mbunge yoyote anayegombea kupitia CHADEMA hastahili kuchaguliwa maana wapo kwa ajili ya pesa za kujikimu na kujaza matumbo yao. Hivyo mzee Shomari amewaasa watanzania wasimpe ubunge mgombea yoyote wa CHADEMA. Na inavyoonekana Oktoba ikifika watavuna usaliti waliofanya.
Chadema mna ubaguzi wa kidiniHivi kwa nini kila mpumbavu akitaka kuandika upumbavu wake anatumia jina la Kiislam? Kwa nini awe Mzee Shomari na siyo Mzee Polycarp?
Ccm chama cha wazee kama yeye mwambie vijana wamechagua mabadilikoMzee Shomari Mungu ampe afya njema na maisha marefu.
Ujamsikia yule wa ccm apeleki maendeleo upinzani,but why dodoma ,tabora Ni fully ccm na Hakuna maendeleoChadema mna ubaguzi wa kidini
Kutokana na akili yako ilivyo ni sawa kabisa ulichosema.Ccm chama cha wazee kama yeye mwambie vijana wamechagua mabadiliko
Ndo Hali halisi,Kutokana na akili yako ilivyo ni sawa kabisa ulichosema.
endelea kuishi kwa akili za shomariKama mtapata wabunge wawili ndio utajua Shomari alikuwa sahihi.
Mzee Shomari ametuwekea wazi kwamba tusichague wabunge wa CDM, lakini hajatuwekea wazi kwamba tuchague wabunge wa chama gani? Ama kama amemaanisha walio pitisha bajeti ndio tuwachague, basi alitakiwa kufahamu kwamba tatizo sio kupitisha. Kuna mambo mengi yamepitishwa ambayo yana tuumiza akiwemo na hata yeye mzee Shomari.Kama kawaida yake mzee huyu huwa hapendi kumumunya maneno, muda wote yupo busy akifanya shughuli yake inayompatia kipato. Na hapa ndipo huwa anaamua kushusha nondo za ukweli.
Waliokuwa wabunge wa CHADEMA walivuta posho za kujikimu na kisha kuingia mitaani na kusingizia kuwa wameenda kujiweka karantini, ili kujikinga na janga la Corona virus. Na wengi wao walidanganya kuwa wapo Dodoma.
Lakini Paul Makonda mwanasiasa machachari wa CCM alipowatia jambajamba kuwa ndani ya masaa 24 atawaweka ndani. Kila mtu alipigwa na butwaa. Maana watu walidhani wabunge wa CHADEMA wapo karantini, kumbe wapo Dar na mikoa mingine wakila bata na kuzitafuna pesa za walipa kodi wavuja jasho ambazo walilipwa ili kuwawakilisha bungeni.
Mzee Shomari anasema wabunge wa CCM walikomaa mpaka mwisho na kuhakikisha wanapitisha bajeti. Wabunge wa CHADEMA hawakushiriki kabisa kupitisha bajeti ambayo ina manufaa kwa watanzania. Kwa sababu hii ni wazi kabisa mbunge yoyote anayegombea kupitia CHADEMA hastahili kuchaguliwa maana wapo kwa ajili ya pesa za kujikimu na kujaza matumbo yao. Hivyo mzee Shomari amewaasa watanzania wasimpe ubunge mgombea yoyote wa CHADEMA. Na inavyoonekana Oktoba ikifika watavuna usaliti waliofanya.
Acha kujitoa fahamu. Unajua unatakwa uchague wabunge gani.Mzee Shomari ametuwekea wazi kwamba tusichague wabunge wa CDM, lakini hajatuwekea wazi kwamba tuchague wabunge wa chama gani? Ama kama amemaanisha walio pitisha bajeti ndio tuwachague, basi alitakiwa kufahamu kwamba tatizo sio kupitisha. Kuna mambo mengi yamepitishwa ambayo yana tuumiza akiwemo na hata yeye mzee Shomari.
Inaelekea mzee Shomari si mfuatiliaji, lakini ajue kwamba imefika mahali wananchi wanamzomea mgombea (raisi aliyepo madarakani), na mgombea alitaka maelezo kwa nini wananchi hawamtaki, alipopewa jibu kwamba tatizo ni maji, alimpandisha mtu kwenye gari aseme. Alipopanda huyo mtu ameweka wazi kwamba ni kweli mradi wa maji haukutekelezwa. Mgombea badala yakutoa majibu kwa nini haukutekelezwa, amelazimisha makubaliano na vitisho kwa wapiga kura. "tukubaliane, mimi nauchukua mradi wa maji, na nyinyi mchague mbunge na diwani ninae mtaka, bila hivyo tusiulizane".
Mzee Shomari angefuatilia kwanza yale yanayojiri, ndani yake angepata faida mbili.
(1) Angejua kwamba hayo yanayo pitishwa yametekelezwa kama tulivyo ahidiwa? Ama yote yanatekelezeka?
(2) Angejifunza pia hekima kutoka kwa wazee wenzake kama mama Maria. Mama wa taifa hakukosa cha kusema bali ametumia kile kinacho semekana kwamba ni hekima, heri kunyamaza kuliko kusema yale yatakayo wakwaza wengine kwa sababu yanaweza kukuondolea heshima yako kwa jamii.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi kwa nini kila mpumbavu akitaka kuandika upumbavu wake anatumia jina la Kiislam? Kwa nini awe Mzee Shomari na siyo Mzee Polycarp?
Mimi nadhani anayetakiwa kwenda kupima afya ya akili siyo mzee Shomari bali huyu aliyekwenda kusikiliza mzee chizi kisha kuleta uchizi wao jukwaani, ukikuta mtu anabeba mavi ya mtu aliyekunya njia panda na kuyaleta barazani ina maana kichaa siyo aliyekunya bali aliyeyabeba na kuyaleta barazani. Tuachane na mzee aliyechanganyikiwa Shomari pamoja na chizi aliyeyaleta mavi barazani, itakuwa tumejishusha sana. Vipi Leo kuna nini Mtwara huko?Shomari ni Nani?? Mana uzee humfika yeyote tu ili mradi alizaliwq uzee huja tu hauombwi wala hausomewi...hilo halimanishi kila aliezeeeka ana akili sana au mawazo mazuri sana.
Kiongozi hapa tunazungumzia haki ya wananchi kuchagua kiongozi wanae mtaka. Awe raisi, mbunge ama diwani.Acha kujitoa fahamu. Unajua unatakwa uchague wabunge gani.
Hatuna tofauti na MagufuliKauli yako ya kwanza inadhihirisha usemi wangu mna ubaguzi sana
Haya maswali hayana mashiko.Kiongozi hapa tunazungumzia haki ya wananchi kuchagua kiongozi wanae mtaka. Awe raisi, mbunge ama diwani.
Kumbuka kwamba hata mgombea (ccm) mwenyewe anajua kwamba wapo wagombea ubunge/udiwani ndani ya chama (ccm) ambao hawakubaliki kwa wananchi (wana ccm) ambao ndio wapiga kura. Rejea kauli hii: "nichagulieni wabunge/madiwani wa ccm hata kama hawafai". Na wananchi (wana ccm) hawajasema kwamba wanataka mgombea wa chama kingine (upinzani).
Bali wanataka mwana ccm ambae anakubalika na kada zote, na ndio maana wamejiwekea utaratibu wa kura ya maoni.
Sasa kwa kuwa mimi nimejitoa fahamu, naomba wewe mwenye fahamu zako unisaidie haya ili na mimi nijifunze.
(1) Nini maana/lengo la kura za maoni?
(2) Tunapo piga kura tunachagua viongozi watakao weza kutuongoza. Je tunapo lazimishwa tuchagua viongozi hata wasio faa, ni nini lengo hasa lakuwachagua viongozi wa aina hiyo?
(3) Kwa kuwa tunalazimishwa, je iko wapi haki na uhuru wa mpiga kura kwa kiongozi anae mtaka.
(4) Kwa mwanachama hai wa ccm, iko wapi haki na uhuru wake kuchagua kiongozi anae mtaka ndani ya chama chake?
(5) Raisi anapo chaguliwa anakuwa ni raisi wa nchi nzima, lakini anapowatisha raia kwamba wasipo chagua mtu anae mtaka yeye (raisi) basi tusiulizane, je uko wapi umoja/udugu wa kitaifa.
Naomba nisaidie tafadhali!!
Magufuli anasisitiza uzalendo na umoja wa kitaifa bila kujali dini, ukabila na itikadi zetu.Hatuna tofauti na Magufuli
Naheshimu mawazo yako.Haya maswali hayana mashiko.