Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Lissu ulikuja kugombea urais, je hukujua CCM ina intelijensia ya hali ya juu?

Mzee Shomari anauliza hili swali, sababu mwanasiasa makini lazima ujitafakari,je unaenda kupambana na chama ambacho kina nguvu kiasi gani? Kimejikita kiasi gani katika kujijenga?

Kwanza ungejiuliza swali moja, CCM hii ambayo leo hii kila mtanzania anakubali imedhibiti ufisadi na ubadhirifu, leo hii inawaletea maendeleo watanzania kwa nini imebadilika kwa muda mfupi?

CCM hii ambayo miaka kumi iliyopita kila mtu alikuwa akiichukia kwa vitendo vya kifisadi na kukumbatia vigogo mafisadi mbona imebadilika na kila mwanchi anaikubali?

Tundu Lissu usidharau wazee kama mimi Mzee Shomari,maaana sisi ndio tunajua nchi inakwenda vipi. Sisi ndio tunajua. Sisi ndio tunajua kutoa ushauri nini kifanyike ili mabadiliko yafanyike nchini. Wewe unapata ushauri toka kwa Robert Amsterdam,je anaifahamu Tanzania vizuri?

Tundu Lissu tambua kuwa CCM ina intelijensia ya hali ya juu ndio maana hata baada ya kuona chama kimechafuka, ilibidi Dkt. Magufuli awekwe kama mgombea ili kukisafisha chama cha CCM.

Umekuja kugombea urais,huna hoja za msingi zaidi ya kuzua uongo na tuhuma zisizo na ukweli. Mfano unasema ununuzi wa ndege za Atcl anafahamu Dotto James na JPM,mbona zilijadiliwa bungeni?

Mzee Shomari ni muuza kahawa ila anasema Lissu tambua CCM ni chama chenye intelijensia ya juu ambayo inatumika kwa manufaa ya Tanzania.
Muulize mzee wako anajua leo magufuli kapiga magoti???😂😂😂
 
Mawazo ya kizamani sana haya, eti interlligencia......... soo what?.....
 
Rais yupo juu ya sheria

Chama cha CCM kipo juu ya sheria...

Yaani hakuna rule of law....

Halafu eti CCM ina inteligensia,imetolea wapi?sheria ya nchi hairuhusu vyama vya siasa kua na jeshi....

Mzee kichaa huyu
 
Hao wazee wanaojidaigi kwamba wanajua nchi inapoenda ndio hola siku zote.
 
Shida zilizo letwa na ccm ndiyo zinamfanya auze kahawa
 
Mzee Shomari anauliza hili swali, sababu mwanasiasa makini lazima ujitafakari,je unaenda kupambana na chama ambacho kina nguvu kiasi gani? Kimejikita kiasi gani katika kujijenga?

Kwanza ungejiuliza swali moja, CCM hii ambayo leo hii kila mtanzania anakubali imedhibiti ufisadi na ubadhirifu, leo hii inawaletea maendeleo watanzania kwa nini imebadilika kwa muda mfupi?

CCM hii ambayo miaka kumi iliyopita kila mtu alikuwa akiichukia kwa vitendo vya kifisadi na kukumbatia vigogo mafisadi mbona imebadilika na kila mwanchi anaikubali?

Tundu Lissu usidharau wazee kama mimi Mzee Shomari,maaana sisi ndio tunajua nchi inakwenda vipi. Sisi ndio tunajua. Sisi ndio tunajua kutoa ushauri nini kifanyike ili mabadiliko yafanyike nchini. Wewe unapata ushauri toka kwa Robert Amsterdam,je anaifahamu Tanzania vizuri?

Tundu Lissu tambua kuwa CCM ina intelijensia ya hali ya juu ndio maana hata baada ya kuona chama kimechafuka, ilibidi Dkt. Magufuli awekwe kama mgombea ili kukisafisha chama cha CCM.

Umekuja kugombea urais,huna hoja za msingi zaidi ya kuzua uongo na tuhuma zisizo na ukweli. Mfano unasema ununuzi wa ndege za Atcl anafahamu Dotto James na JPM,mbona zilijadiliwa bungeni?

Mzee Shomari ni muuza kahawa ila anasema Lissu tambua CCM ni chama chenye intelijensia ya juu ambayo inatumika kwa manufaa ya Tanzania.
very cheap and shallow propaganda. Maskini roho zenu!
 
Mzee Shomari wewe tapeli la msimu.
Kulikuwepo skandali za RADAR, OGL, Maghorofa ya BOT, RICHMOND, EPA na nyingine nyingi.
Uliwekwa poni wapi?
Ati unaijua nchi, subutu!!!
 
Back
Top Bottom