Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Lissu ulikuja kugombea urais, je hukujua CCM ina intelijensia ya hali ya juu?

Muulize mzee wako anajua leo magufuli kapiga magoti???😂😂😂
 
Mawazo ya kizamani sana haya, eti interlligencia......... soo what?.....
 
Rais yupo juu ya sheria

Chama cha CCM kipo juu ya sheria...

Yaani hakuna rule of law....

Halafu eti CCM ina inteligensia,imetolea wapi?sheria ya nchi hairuhusu vyama vya siasa kua na jeshi....

Mzee kichaa huyu
 
Hao wazee wanaojidaigi kwamba wanajua nchi inapoenda ndio hola siku zote.
 
Shida zilizo letwa na ccm ndiyo zinamfanya auze kahawa
 
very cheap and shallow propaganda. Maskini roho zenu!
 
Mzee Shomari wewe tapeli la msimu.
Kulikuwepo skandali za RADAR, OGL, Maghorofa ya BOT, RICHMOND, EPA na nyingine nyingi.
Uliwekwa poni wapi?
Ati unaijua nchi, subutu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…