Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Lissu ulikuja kugombea urais, je hukujua CCM ina intelijensia ya hali ya juu?

Kama zimejadiliwa bungeni unaweza niambia gharama ya ndege exactly figure ni sh ngp??
 
Huyo Mzee hata kanzu yake imejaa viraka kwa umaskini aliyoletewa na CCM.
Umaskini?. Mbona chama chako wote maskini tajiri Mbowe tu. Mnampa mishahara yenu, mnaona Sawa tu. Ndio maana mnaitwa manyumbu wa Ufipa.
 
Mzee Shomari: Lissu ulikuja kugombea urais, je hukujua CCM ina intelijensia ya hali ya juu?
Idugunde, nina tuswali tuchache tu kwa Mzee Shomari...
  • Kwa nini hiyo intelijensia ya hali ya juu haijaweza kutumika kuliangamiza genge la kihalifu la wasiojulikana?
  • Kwa nini hiyo intelijensia ya hali ya juu haijaweza kutumiwa na serikali ya CCM kutujuza aliko Ben Saanane?
  • Kwa nini hiyo intelijensia ya hali ya juu haijasaidia serikali ya CCM kutupa wananchi majibu ya aliko Azory Gwanda?
  • Kwa nini hiyo intelijensia ya hali ya juu haitumiki kuwasambaratisha wanaoteka, kuwatesa na kuwapoteza raia?
  • Kwa nini hiyo intelijensia ya hali ya juu haijaiwezesha serikali ya CCM kuwakamata waliommiminia risasi MH. Lissu?
Idugunde, maswali ni mengi ila kwa leo nitaishia hapo, asante na nasubiri majibu.
 
Offpoint
 
Daudi na Golliath tunaambiwa upandewaMungu ndiyo utashinda
 
Sasa huyo mchemsha kahawa naye nani sasa hadi ajadiliwe na watu makini?
Kwa nini mnalipotezea hadhi jukwaa hili?
 
Ukombozi tena,mbona tulishamtoa mkoloni huko nyuma.CDM ndio mkombozi? Haya tusubiri hiyo october
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…