Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Mgombea urais wa CHADEMA hana nia njema na Watanzania wa kipato cha chini, hastahili kupata kura hata moja

Huyu shomari aungane na wenzake kisakata ball,sio siasa na maisha Yake ya kutegemea wakulima wahenyeke yeye anyonye,
 
Uyu shomari aungane na wenzake kisakata ball,sio siasa na maisha Yake ya kutegemea wakulima wahenyeke yeye anyonye,
Pumba zako bora hata usingeandika kitu.
 
Huu ndiyo utaahira wa John. Anadhibiti kitu ambacho hakushiriki wala kusaidia kukizalisha. John kweli ni hamnazo.
Mzee Shomari anakuzidi akili maana hujui kuwa serikali inadhibiti uuzwaji nafaka ili kudhibiti mfumuko wa bei wa nafaka?
 
Daah kwa hoja hizi bado sana,

Anyway kwahiyo hiyo miundombinu tunayoiona mkipiga picha mkiwa ulaya kusambaza sumu imejengwa na watu binafsi??
Kwenye macho ya "saccos" zinajengwa na watu binafsi, baada ya serikali kuwekeza ktk maendeleo ya watu, na sio vitu.
 
Huyu mzee atakuwa ni kichaa kama ni kweli, watu wana tumia gharama kubwa kulima na kutunza alafu uwazuie kuuza nje ili machinga anunue mazao?
 


Ukizungumzia nia njema anza na Hawa wa ccm...
Hivi kweli miaka nenda rudi ahadi zenu ni zile zile... Mnachaguliwa alafu leo mnawakejeli wananchi wanaokunywa matope kuwa hawana tatizo kabisa...
Really...!!
Ebu acheni kuwatumia common wananchi kiasi hicho...
 
Hata Usa ambalo ni taifa lilioendelea sio kila kero wameishaitatua. So sio mbaya mgombea ubunge kusema hilo tatizo litatuliwe.
 
Huyo mzee akawaambie huo upuuzi familia yake tu
 
Hivi vijana nani aliwadanganya kwamba uzee ni kinga ya ulongo
Sio kila mzee ana busara na hekima maana hata wapumbavu huzeeka!

Ila huyu mzee ni wa kufikirika tu aliyeundwa hapo lumumba ili wamtumie kutengeneza propaganda zao mfu!
 
Who is mzee shomari?
Ni mtu wa kufikirika tu ambapo huyu kijana wa lumumba kamtengeneza kichwani kwake ili amtumie kutengeneza propaganda mfu!Ukiona mtu hajiamini mpaka anaamua kumtengeneza mtu wa kufikirika kisha kumpa mawazo yake basi jua hana uwezo wa kushawishi!
Kiufupi huu ni mwendelezo wa propaganda mfu!
 
Sio kila mzee ana busara na hekima maana hata wapumbavu huzeeka!

Ila huyu mzee ni wa kufikirika tu aliyeundwa hapo lumumba ili wamtumie kutengeneza propaganda zao mfu!
Mbona anauza kahawa mitaa ya Temeke. Wala hajaundwa,kwani Lissu hajasema ataruhusu wakulima kuuza mazao nje bila kujali mfumuko wa bei wa chakula?
 
Mbona anauza kahawa mitaa ya Temeke. Wala hajaundwa,kwani Lissu hajasema ataruhusu wakulima kuuza mazao nje bila kujali mfumuko wa bei wa chakula?
Ungesema tu ni mawazo yako na hoja ingeendelea kuanzia hapo!Ila kila siku kumsingizia mtu wa kufikirika mawazo yako ndio watu wanatoka kwenye hoja na kuanza kuhoji lengo lako ni nini!
Mwenzako johnthebaptist alikuwa ana mzee wake wa kufikirika kama wewe ila akaona mbinu hiyo haizai matunda maana watu walijikita katika kumjadiki huyo mzee ambaye kila siku alikuwa na la kuongea!!!!
Jiamini na uandike hoja na ulete mezani!
Vijana mnakwama wapi huko lumumba?
 
Mbona mnaweweseka? Jioni naenda kunywa kahawa kuna nondo atanipa nitawapatia ili mjue yupo kweli.
 
Sasa unalazimisha asiwepo? Kwani wewe akisema ukweli mzee Shomari unaumia nini? Usimuingilie mzee wa watu bure
 
kama magu alijaribu Lisu atashindwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…