Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Sema ni wewe ndiye umekuja na mawazo hayo!Sasa unalazimisha asiwepo? Kwani wewe akisema ukweli mzee Shomari unaumia nini? Usimuingilie mzee wa watu bure
🚮🚮🚮Mimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa CHADEMA wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.
Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.
Sasa basi kama mgombea wa CHADEMA akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.
Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
Unataka ukamdhururu?Sema ni wewe ndiye umekuja na mawazo hayo!
Else weka picha yake hapa na jina lake kamili na anakouzia hiyo kahawa!
Maana kama umemtaja basi hutaona shida kutuonesha huyo mzee shomari!
Jiamini kijana,jenga hoja zenye mashiko!
Inatakiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa kununua nafaka toka kwa wakulima kwa bei nzuri ili wapate chao. Siyo kuzuia kuuza. Wakulima hawalimi kwa malengo ya maonesho.serikali inadhibiti uuzwaji nafaka ili kudhibiti mfumuko wa bei wa nafaka?
Unafanya import and exportation bila kujali mahitaji ya wananchi wako? Mzee Shomari anakuzidi akili mara 1000.Mzee Shomari uelewa wake ni mdogo juu ya hilo swala. Kijana wa miaka 16 aliyesomea Community Development ana uelewa mpana juu ya importation na exportation kuliko mzee Shomari.
Hapa kosa siyo lake. Ni elimu yetu.
Kwa nini asiwajue? Hawana pumba kama hizi za Lissu.
Nilishaconfirm nikichotaka kujua!!!!!Unataka ukamdhururu?
Hayo mahitaji yanajazwa na import.Pia demand ikiwa kubwa uchochea uzalishaji zaidi ili kujaza mahitaji ya wananchi wako.Unafanya import and exportation bila kujali mahitaji ya wananchi wako? Mzee Shomari anakuzidi akili mara 1000.
Kwani alichosema mzee Shomari hakijaeleweka kwa watanzania. Na unajua Lissu anaharibu kila siku,anaropoka hovyo. Mzee Shomari anamfuatilia na kila pumba anayoiweka atakuwa anaiweka wazi.Nilishaconfirm nikichotaka kujua!!!!!
Jiamini,jenga hoja na ulete wewe kama wewe!Huko kutembelea migongo ya watu wa kufikirika sio suluhisho la hoja yako kukubalika!!!!
Hehehe wewe umezidiwa akili na mzee shomari angalau kaonyesha haujui ni kivipi impo/ exportation inavyofanya kazi na hajui wapi pa kupata taarifa.Unafanya import and exportation bila kujali mahitaji ya wananchi wako? Mzee Shomari anakuzidi akili mara 1000.
Nakuuliza hivi kwa kuwa kuna import na exportation kwenye biashara. Ndio uuze mazao nje ya nchi bila kuangalia mahitaji ya ndani?Hehehe wewe umezidiwa akili na mzee shomari angalau kaonyesha haujui ni kivipi impo/ exportation inavyofanya kazi na hajui wapi pa kupata taarifa.
Wewe haujui, na unaweza kupata taarifa ila hautaki kupata taarifa. So uko bize kung'ang'ania msimamo wa mzee Shomari bila kuuachambua.
Ukiwa na pesa huwezi kosa mahitaji, kemia na uchumi ni mbingu na ardhiNakuuliza hivi kwa kuwa kuna import na exportation kwenye biashara. Ndio uuze mazao nje ya nchi bila kuangalia mahitaji ya ndani?
Nadhani ni mara ya kwanza katika historia ya wagombea wa nchi hii kuwepo asiyekuwa na makandokando.TAL Mgombea Asiye Na Makandokando Kama Wale Wengine