Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Mgombea urais wa CHADEMA hana nia njema na Watanzania wa kipato cha chini, hastahili kupata kura hata moja

Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Mgombea urais wa CHADEMA hana nia njema na Watanzania wa kipato cha chini, hastahili kupata kura hata moja

Sasa unalazimisha asiwepo? Kwani wewe akisema ukweli mzee Shomari unaumia nini? Usimuingilie mzee wa watu bure
Sema ni wewe ndiye umekuja na mawazo hayo!
Else weka picha yake hapa na jina lake kamili na anakouzia hiyo kahawa!
Maana kama umemtaja basi hutaona shida kutuonesha huyo mzee shomari!
Jiamini kijana,jenga hoja zenye mashiko!
 
Mzee Shomari uelewa wake ni mdogo juu ya hilo swala. Kijana wa miaka 16 aliyesomea Community Development ana uelewa mpana juu ya importation na exportation kuliko mzee Shomari.

Hapa kosa siyo lake. Ni elimu yetu.
 
Mimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa CHADEMA wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.

Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.

Sasa basi kama mgombea wa CHADEMA akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.

Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
🚮🚮🚮
 
Sema ni wewe ndiye umekuja na mawazo hayo!
Else weka picha yake hapa na jina lake kamili na anakouzia hiyo kahawa!
Maana kama umemtaja basi hutaona shida kutuonesha huyo mzee shomari!
Jiamini kijana,jenga hoja zenye mashiko!
Unataka ukamdhururu?
 
serikali inadhibiti uuzwaji nafaka ili kudhibiti mfumuko wa bei wa nafaka?
Inatakiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa kununua nafaka toka kwa wakulima kwa bei nzuri ili wapate chao. Siyo kuzuia kuuza. Wakulima hawalimi kwa malengo ya maonesho.
 
Mzee Shomari uelewa wake ni mdogo juu ya hilo swala. Kijana wa miaka 16 aliyesomea Community Development ana uelewa mpana juu ya importation na exportation kuliko mzee Shomari.

Hapa kosa siyo lake. Ni elimu yetu.
Unafanya import and exportation bila kujali mahitaji ya wananchi wako? Mzee Shomari anakuzidi akili mara 1000.
 
Inatakiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa kununua nafaka toka kwa wakulima kwa bei nzuri ili wapate chao. Siyo kuzuia kuuza. Wakulima hawalimi kwa malengo ya maonesho.
So what is what?
 
Huyo mzee Hana akili ajui chochote kuhusu nguvu ya uchumi na soko. Ukiuza nje unapata pesa ukiwa na pesa huwezi lala njaa. Popote penye demand na pesa ipo bidhaa zitafika tu
 
Kweli hata Mimi kwenye hiyo hoja sijakuelewa.
Naamini anafahamu swala la usalama wa chakula kwenye nchi. Hivyo hawezi kuruhusu watu wajiuzie tu chakula kiholela.

Lazima kutakua na namna anamaanisha.

Labda; atahakikisha uzalishaji wachakula ni wa uhakika. Hivyo kutakua na chakula Cha kutosha na wakulima watapata Elimu ya kutosheleza juu ya usalama wao na wa nchi kwenye maswala ya Chakula. Maana wakulima Kuna wakati wanauza Hadi wao wenyewe wanakosa chakula.

Na pengine serikali utaingia sokoni Kama wachuuzi binafsi. Kisha mkulima atachagua penye Bei nzuri. Aidha, nje, mchuuzi wa ndani, ama serikali.

Lakini sio kulazimisha mkulima asiuze nje
 
Unafanya import and exportation bila kujali mahitaji ya wananchi wako? Mzee Shomari anakuzidi akili mara 1000.
Hayo mahitaji yanajazwa na import.Pia demand ikiwa kubwa uchochea uzalishaji zaidi ili kujaza mahitaji ya wananchi wako.
Lengo la kuzuia kuuza nje kwanza ilikuwa ni kuwakomoa wakenya sababu ya bifu za mzee wa visasi.
Pili kuwasomesha watz namba ili wazidi kuwa masikini ili watawaliwe, mtawala asiyejiamini hawezi tawala watu walioshiba,au wanaomzidi reasoning.
 
Ccm wameitawala Tanzania for 50 yrs lakini matatizo ni yale mbaya zaidi mmefanya maisha yamekuwa magumu sana kodi kila sehemu. Sasa hivi mtu akitak kujenga nyumba unaenda kuomba kibali 50,000/=
 
Ukitaka chakula rahisi zaidi KALIME CHAKO nchi mbona ina ardhi kubwa tu. Sasa anamaanisha mkulima ndio ana wajibu wa kuwa masikini milele anufaishe wengine tu?
 
Nilishaconfirm nikichotaka kujua!!!!!
Jiamini,jenga hoja na ulete wewe kama wewe!Huko kutembelea migongo ya watu wa kufikirika sio suluhisho la hoja yako kukubalika!!!!
Kwani alichosema mzee Shomari hakijaeleweka kwa watanzania. Na unajua Lissu anaharibu kila siku,anaropoka hovyo. Mzee Shomari anamfuatilia na kila pumba anayoiweka atakuwa anaiweka wazi.
 
Unafanya import and exportation bila kujali mahitaji ya wananchi wako? Mzee Shomari anakuzidi akili mara 1000.
Hehehe wewe umezidiwa akili na mzee shomari angalau kaonyesha haujui ni kivipi impo/ exportation inavyofanya kazi na hajui wapi pa kupata taarifa.

Wewe haujui, na unaweza kupata taarifa ila hautaki kupata taarifa. So uko bize kung'ang'ania msimamo wa mzee Shomari bila kuuachambua.
 
Nakuuliza hivi kwa kuwa kuna import na exportation kwenye biashara. Ndio uuze mazao nje ya nchi bila kuangalia mahitaji ya ndani?
 
Kabla ya awamu ya kuleta ufukara nchini haijashika madaraka, wafanyabiashara toka nchi mbalimbali mfano wakenya walizunguka nchi nzima wakiacha pesa nzuri tu kwa wakulima wa mbao, viazi mviri go, nyanya, mahindi, Mchele, huku wacomoro wakienda minadani na kuacha pesa nzuri kununua mifugo, wazambia, Zimbabwe, congo walikuwa awakauki kariakoo, pia ziwani Kanda ya ziwa wakimwaga pesa kwa wavuvi. Walichangia pa kubwa watz hasa vijijini kujenga nyumba Bora ilikua nchi nzima kila mahari Ni mabati tu huku nyumba za nyasi zikipotea kwa Kasi ya 4G but ilipoingia awamu hii dhalimu miji mingi imesimama baada ya wafanyabiashara wa nje kukimbizwa huku. Anaeshabikia awamu hii ya propaganda inafaa akapimwe akili
 
Nakuuliza hivi kwa kuwa kuna import na exportation kwenye biashara. Ndio uuze mazao nje ya nchi bila kuangalia mahitaji ya ndani?
Ukiwa na pesa huwezi kosa mahitaji, kemia na uchumi ni mbingu na ardhi
 
Back
Top Bottom