Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Mgombea urais wa CHADEMA hana nia njema na Watanzania wa kipato cha chini, hastahili kupata kura hata moja

Huyo mzee shomari, anayetumika na Hawa zumbukuku wa Lumumba mwambieeni aangalie uzee wake unamuendea vibaya.
 
Kwani alichosema mzee Shomari hakijaeleweka kwa watanzania. Na unajua Lissu anaharibu kila siku,anaropoka hovyo. Mzee Shomari anamfuatilia na kila pumba anayoiweka atakuwa anaiweka wazi.
Kwahiyo huyo mzee ana kazi ya kukuita wewe na kukueleza?Jiamini na jenga hoja wew kama wew na sio kupitia watu wa kufikirika kichwani mwako!Kwamba ukitutajia mzee shomari ndio utaaminika kuliko ungesema ni mawazo yako!
Lissu anapiga spana kweli kweli na wakulima wamekubaliana naye kwa hoja zake nzito!
Ni huyo huyo JPM alikuwa anahimiza wakulima walime na wawabamize bei wanunuzi kisawaswa!Sasa hapa unaonge kitu gani?
 
Mwambie mzee Shomari kama hakupambana akiwa kijana,asubiri kulelewa kwenye vituo vya wazee.
Yeye anataka watu wapangiwe bei za mazao waliolima kwa jasho lao bila msaada wa serikali.?
Mzee Shomari inaonekana umeishiwa nguvu za kiume pamoja na akili zimeisha kabisa.
Jiangalie vijana wanakumezea mate..!!
 
Mimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa CHADEMA wanaweka mgombea urais ambae hana 7muda wote huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.

Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.

Sasa basi kama mgombea wa CHADEMA akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.

Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
Muda wote ulioishi Hadi unajiita mzee ilaumu ccm na jilaumu mwenyewe kwa Hali ilivyo nayo
 
Vilaza kama huyu ndo mtaji wa ccm.. kwa hiyo unataka utekaji na maovu mengine uendelee?
Hizi hadithi za kutekwa au ndoto huwa mnaota saa ngapi, ndugu yako yupi katekwa??
Mfano Membe kambebesha mtu Fedha, na anashikwa mbele yake , yeye kaminya kaenda kulala nyumbani kesho yake anajifanya jamaa katekwa, hajui alipo etc, wakati pale pale airport angesema huu mzigo wangu . Jamaa aachiliwe yeye aende kujieleza
 
Kwahiyo huyo mzee ana kazi ya kukuita wewe na kukueleza?Jiamini na jenga hoja wew kama wew na sio kupitia watu wa kufikirika kichwani mwako!Kwamba ukitutajia mzee shomari ndio utaaminika kuliko ungesema ni mawazo yako!
Lissu anapiga spana kweli kweli na wakulima wamekubaliana naye kwa hoja zake nzito!
Ni huyo huyo JPM alikuwa anahimiza wakulima walime na wawabamize bei wanunuzi kisawaswa!Sasa hapa unaonge kitu gani?
Mimi huwa naenda kunywa kahawa huku nasikiliza nondo zake.
Nafikiri unachanganya mambo. JPM alikuwa anasisitiza wakulima wasiuzw hovyo chakula kwa wanunuzi maana hali ya hewa haitabiliki. Na kama kuwabamiza bei wanunuzi kwani ni kosa? Maana wanunuzi huwa wanapunja wakulima.
Kwani mimi kuleta ujumbe anaoutoa mzee Shomari kijiweni kwake wewe unaumia nini mpaka unataka kulia?
 
Anaona umati wa Lissu kweli huyu Mzee au anajiabisha tu? Pale hakuna 5,000 wala mabus wala kina Diamond. Ni upepo wa Lissu tu.
Nimebahatika kuhudhuria mikutano miwili ya Lissu katika mikoa miwili tofauti, nakuhakikishia wengi wanaenda kama outing tu. Ukitaka kujua hilo, angalia kundi la watu wanaoondoka mkutanoni wakati mgombea hajamaliza kujinadi. Hao wanakuwa hawana mahaba na mgombea ila wana ratiba zao.
 
Mimi huwa naenda kunywa kahawa huku nasikiliza nondo zake.
Nafikiri unachanganya mambo. JPM alikuwa anasisitiza wakulima wasiuzw hovyo chakula kwa wanunuzi maana hali ya hewa haitabiliki. Na kama kuwabamiza bei wanunuzi kwani ni kosa? Maana wanunuzi huwa wanapunja wakulima.
Kwani mimi kuleta ujumbe anaoutoa mzee Shomari kijiweni kwake wewe unaumia nini mpaka unataka kulia?
Ninachosema umeshaonekana poyoyo mpaka unakosa ujasiri wa kutoa hoja!Wengine wakifikia level yako huwa wanabadili ID ili walau hoja zao zikubalike!Wewe naona umemtengeneza mzee shomari kichwani kwako ili hoja yako ikubalike!Mbinu hiyo imeshafeli mara nyingi tu humu jukwaani!Na hayo ni matokeo ya mtu huyo huyo kuandika upuuzi repeatedly!
Sasa kama lengo ni wakulima kunufaika na jasho lao,si waachwe wakauze popote ambapo kuna soko la bei nzuri kwao?Kwahiyo huyo mzee shomari(yaani wewe) unataka uwalalie wakulima?shame!
 
Iwe hoja imetolewa na mimi au mzee Shomari ndio sababu ya kuwa isieleweke?

Mbon wewe umeelewa kuwa wkulima wakiruhusiwa kuuza mazao nje ya nchi hovyo,bei ya chakula hapa nchini itapanda. Kitu ambacho Lissu amesema ataruhusu,ili watanzania wapate tabu ya mfumuko wa bei wa chakula.
 
Wewe mwenyewe sio mkulima mshamba mmoja tu khebu jaribu kushika jembe ndio utamuelewa rais wako tundu lissu Anamaanisha nini

Matapeli hayo akina magufuli na kampuni yake ya wizi
 
Nakuuliza hivi kwa kuwa kuna import na exportation kwenye biashara. Ndio uuze mazao nje ya nchi bila kuangalia mahitaji ya ndani?
Leo Magufuli akiwa Kigoma amesema ndege ni muhimu na ataziongeza ili migebuka ikagebukie Ulaya na mawese yasafirishwe nje.

Ni watu kama wewe mnakua hamuelewi ni kwanini rais anaweza akaencourage exportation au akaibana.

Sasa mwambie mzee Shomari alichosema leo rais
 
Mimi mzee Shomari nasikitika sana kuwa CHADEMA wanaweka mgombea urais ambae hana huruma kwa watu masikini na tusio na uwezo kama mimi. Mimi nauza kahawa,kuna mama mama ntilie, kuna wamachinga na wengi tu ambao kipato ni cha hali ya chini.

Serikali ya CCM imetujali kwa kudhibiti uuzwaji wa nafaka nje ya nchi ili watanzania masikini kama mimi mzee Shomari nisipate tabu ya kupata kununua nafaka kama mahindi na mchele kwa bei ya juu. Maana huko miaka ya nyuma nafaka zilikuwa zinasafirishwa na kuuzwa holela nchi za nje, kitendo ambacho kilfanya unga na mchele uwe na bei kubwa. Leo hii unga hapa nchini una bei ya wastani ya sh 1300, lakini kabla ya serikali ya Ccm kudhibiti uuzwaji holela wa mazao kwenda nje ya nchi ulifikia hadi bei ya sh 2000.

Sasa basi kama mgombea wa CHADEMA akiwa mkoani Rukwa anasema ataruhusu wakulima wauze nje mazao kama wanavyotaka,hajui kuwa kuna madhara kwa watumiaji wa ndani. Maana anajinadi ataruhusu wauze nchi yoyote wanayotaka bila kujali mahitaji ya ndani.

Je, Mgombea urais kama huyu anapaswa apewe kura hata moja? Kama anakuwa hajali watu wenye shida na kipato duni kama mzee Shomari! Maana kiogozi bora lazima ujali raia wako kwanza kuliko kujali manufaa ya kisiasa. Maana ukiruhusu wakulima kuuza nafaka wanavyopenda,je wanachi wako watatapa chakula kwa bei rahisi!
Ujinga huu wa kuuza mazao ya chakula kwa bei ya chini umewafanya Watanzania wengi kubweteka na kuwa wavivu kwa sababu hawaoni faida ya kilimo. Ili kilimo kiheshimike lazima mazao yawe na bei nzuri kwa wakulima na siyo madalali wa mazao. Wanaotaka mazao ya chakula yawe na bei ya chini basi wanapaswa kuitaka serikali itoe ruzuku ya pembejeo za kilimo.
 
Kwanza kitendo tu cha kujisifia kuwa wewe ni maskini kinaonyesha hujitambui. Kwa hiyo wakulima wafanye kazi ya kulima waache kutafuta masoko bora ya mazao yao ili wewe mvivu muuza kahawa uweze kununua bei rahisi?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini ujadili kitu ambacho uwezo wako wa kufikiri hauwezi kukichambua?
 
Ujinga huu wa kuuza mazao ya chakula kwa bei ya chini umewafanya Watanzania wengi kubweteka na kuwa wavivu kwa sababu hawaoni faida ya kilimo. Ili kilimo kiheshimike lazima mazao yawe na bei nzuri kwa wakulima na siyo madalali wa mazao. Wanaotaka mazao ya chakula yawe na bei ya chini basi wanapaswa kuitaka serikali itoe ruzuku ya pembejeo za kilimo.
Unapoteza muda kuchangia mambo ambayo hujui umuhimu wake.
 
Iwe hoja imetolewa na mimi au mzee Shomari ndio sababu ya kuwa isieleweke?

Mbon wewe umeelewa kuwa wkulima wakiruhusiwa kuuza mazao nje ya nchi hovyo,bei ya chakula hapa nchini itapanda. Kitu ambacho Lissu amesema ataruhusu,ili watanzania wapate tabu ya mfumuko wa bei wa chakula.
Usinilishe maneno,hayo ya kuelewa sijasema mimi!Ninachosema jiamini!
 
Back
Top Bottom