Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
We unaongea nini? Tanzania ipo huru wala hakuna mkoloni.. Uhuru na haki gani unaoutaka? Mbona nchi ipo huru na watu wanafanya mambo kwa uhuru,haki gani unayotaka? Maana kama ni haki watu wanapatiwa haki zao. Japokuwa kuna idara kama polisi na mahakama zina dosari kidogoWapambe wa kaburu Mkoloni mweusi ndiyo mtaumia sana pindi mtukufu akirejea kijijini chato pindi Nchi ikiwa imepata uhuru upya na kutawala kwa misingi ya HAKI
Waziri Mkuu Mstaafi Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe kumtelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.
Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.
Ndio maana huyu aliitwa Mr. ZeroMimi sishabikii chama chochote lakini hoja nyingine ukizisikia unashangaa.
Mbowe naye sinimgombea sasa ataachia jimbo liende apigie mtu kampeni.
Ndio maana huyu aliitwa Mr. Zero
Lissu hawezi kutoboa nini wakati anawalaza nje kila siku? Amewanyoosha sana. Polepole na bashiru wakawadanganya eti chadema imekufa wakati jiwe sasa anaenda gereji kila wiki.Uhalisia nikua kamati kuu haikuana mpango na Lisu wao walimtaka Nyarandu kwakua alisha jipanga katika swala la fedha za kampen. Walipo ona kuna shinikizo kutoka kwa wanachama wakaonaona isiwe tabu wamwachie Lisu msala alafu wao wa mute. Wanajua Lisu hawezi kutoboa na ndicho kinacho tokea
Mimi ni mwana ccm lakini kamati kuu ya chadema ingempitisha Nyalandu kuwa ndio mgombea wa chadema, asee ccm ingeshinda kwa zaidi ya 99%,walau Lisu kaleta changamoto kidogo na i hope ameuchangamsha huu uchaguzi wa mwaka huu.
Political ProstitutionSumaye aache umalaya
Sumaye aache umalaya wa kisiasa.
Sumaye atuambie amemwona Mwenyekiti wa CCM akiongozana na Mgombea wake kama kweli ni lazma kila Mgombea Urais atembee na Mwenyekiti wa Chama Chake.Mimi sishabikii chama chochote lakini hoja nyingine ukizisikia unashangaa.
Mbowe naye sinimgombea sasa ataachia jimbo liende apigie mtu kampeni.