johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Leo busara tupu!Mambo ni mengi ngoja niishie hapo.
Sisi tunataka rais ambaye ndiye hakimu wa mwisho aamue juu ya rushwa ndani ya ccm. Takukuru wanasubiria oda. Huoni kamishna wao jana kaambiw kapigwa ndio kanyanyuka kutumbua watu waliohusika kwenye ujenz wa majengo yaoHalafu wanaccm ndio walikuwa wanasimama kuhadaa wananchi kuwa Magufuli kadhibiti rushwa. Hatimaye ukweli uko wazi kuwa rushwa ni jambo lisiloweza kudhibitiwa na ccm. Hii inaitwa Mungu hamfichi mnafiki.
Sisi tunataka rais ambaye ndiye hakimu wa mwisho aamue juu ya rushwa ndani ya ccm. Takukuru wanasubiria oda. Huoni kamishna wao jana kaambiw kapigwa ndio kanyanyuka kutumbua watu waliohusika kwenye ujenz wa majengo yao
Mangula huyo, baada ya kushindwa uenyekiti wa mkoa, kule Iringa!Kuna Kigogo mmoja alipigwa mweleka akadai ,"Wajumbe hawataki tena vipeperushi vyenye wasifu wa wagombea bali wanataka vipeperushwa"
Hii taasisi haina mrmno kwami kagi lugola licha ya kuthibitika kuwa anayo hatia je kawajibishwa?Ukiona hivyo ujue rais ndio mlinzi wa hiyo rushwa, na yoyote anayetuhumiwa kwa rushwa hana maslahi binafsi na rais. Vinginevyo mshauri aivunje hiyo pccb maana inakula hela ya bure, kwani kazi ya kupambana na rushwa anaifanya yeye.
Mmmmmmh!Ngoja tuone watafanywaje.... Wakuu wa mkoa vijana wale wawili.. Maana nasikia wamezichanga balaa...
Mheshimiwa rais wetu sikia kauli hizi wajumbe wako ni watoa na wala rushwaHakuna mwanaccm pure hasiyetoa rushwa
Mimi siamini kabisa kuwa Magufuli anapambana na rushwa, bali anatumia vita ya rushwa kukomoa mahasimu wake. Sana sana naona kuzuia uhuru wa vyombo vya habari kutangaza habari za rushwa,ili kuhadaa umma kuwa kaidhibiti rushwa ili kusaka sifa za kisiasa.
Kama kweli kungekuwa na vita ya rushwa, tungeona sio chini ya wanaccm 50 wakiwa mahakamani. Lakini kusubiri sijui kamati ya ccm ndio iengue watoa rushwa, ni hadaa ya mchana kweupe. Kama taasisi iliyoko kisheria kupambana na rushwa imeshindwa kuwapeleka watoa rushwa mahakamani, ujue kwenye hiyo kamati ya ccm ni siasa tu inaenda kuchezwa huko ndani illi kuwaengua wasiowataka kwa ajenda zao binafsi.
jamaa kaamua kutembeza elfu kumi kumi kwa wajumbeCCM oyeee. Takrima oyee.
Kuna Kigogo mmoja alipigwa mweleka akadai ,"Wajumbe hawataki tena vipeperushi vyenye wasifu wa wagombea bali wanataka vipeperushwa"