Mzee Sumaye aliona mbali, siyo rahisi kufuta rushwa CCM ni heri ibatizwe kuwa Takrima!

Mzee Sumaye aliona mbali, siyo rahisi kufuta rushwa CCM ni heri ibatizwe kuwa Takrima!

Hii ndio hali halisi kwenye kura ya maoni ndani ya CCM ..mfano mrahisi tu hapa Arusha mtu anatoa rushwa wazi wazi tena kwa muda mrefu..hii ni jambo la hatari kwa chama iliyorudishwa uhai na Rais John Pombe Magufuli.
 
Back
Top Bottom