bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,443 Reaction score 9,854 Jul 23, 2020 #21 Daudi Mchambuzi said: Rushwa ni uti wa mgongo wa CCM full stop. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daudi Mchambuzi said: Rushwa ni uti wa mgongo wa CCM full stop. Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tajiri Tanzanite JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 2,536 Reaction score 4,621 Jul 23, 2020 #22 Hii ndio hali halisi kwenye kura ya maoni ndani ya CCM ..mfano mrahisi tu hapa Arusha mtu anatoa rushwa wazi wazi tena kwa muda mrefu..hii ni jambo la hatari kwa chama iliyorudishwa uhai na Rais John Pombe Magufuli.
Hii ndio hali halisi kwenye kura ya maoni ndani ya CCM ..mfano mrahisi tu hapa Arusha mtu anatoa rushwa wazi wazi tena kwa muda mrefu..hii ni jambo la hatari kwa chama iliyorudishwa uhai na Rais John Pombe Magufuli.
Gerald .M Magembe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,496 Reaction score 1,800 Jul 23, 2020 #23 Kipangaspecial said: Hakuna mwanaccm pure hasiyetoa rushwa Click to expand... Mtanzania karibu 80%, na wachache sana wengine pamoja na RAIS.
Kipangaspecial said: Hakuna mwanaccm pure hasiyetoa rushwa Click to expand... Mtanzania karibu 80%, na wachache sana wengine pamoja na RAIS.