johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hawachelewi kumuita kwenye ile kamati pendwaSawa tu.Asiitwe kuhojiwa na jopo la watakatifu.
Watamwambia athibitishe.Sijui athibitishe kifo?😝😝😝😝😝Hawachelewi kumuita kwenye ile kamati pendwa
Hii ni kazi na 1/2CCM imeshachokwa miaka mingi iliyopita, hata Sumaye anajua hilo ndio maana akakimbilia Chadema kwa kuogopa kuachwa na ule upepo wa mabadiliko, kinachoiweka CCM madarakani ni kura za kwenye mabegi meusi kwa msaada wa Tume ya uchaguzi na vijana wa Sirro.
Sumaye ameoa uchagani!Kumbe Sumaye anakijua chama mbadala, lakini bado kuna Malumumba humu yanasema CHADEMA imekufa..
CHADEMA haitakufa na itaongoza nchi hii soon.
Hahahaaaa........ Sumaye anajitambua sana!Sumaye bwana kuna mda zipo,mda mwingine hazipo
Enzi za mwendachato angeitwa na kamati ya Mangula kuhojiwa!Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye amewaasa CCM kujiandaa kisaikolojia kwani siku zinakuja ambapo Watanzania " Wataichoka" tu na kuweka chama kingine madarakani.
Sumaye anasema ndio maana yeye, mzee Lowassa na hayati Kingunge walienda upinzani ili kuandaa mazingira mazuri kwa chama mbadala wa CCM.
Haijalishi CCM inafanya vizuri kwa kiwango gani, ukweli ni kuwa Wananchi wataichoka tu na kusema sasa basi Yatosha tunataka kutawaliwa na chama chenye mawazo mapya, amesisitiza mzee Sumaye katika mahojiano yake na Odemba wa Star tv.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Sumaye Aliienda kwa mashemeji.Hata UKAWA ulikuwa muungano wa wachaga na shemeji zaoSumaye ameoa uchagani!
Network Inaingia na kutokaSumaye bwana kuna mda zipo,mda mwingine hazipo
Hii habari haina mzania bila kusikia maoni ya Mzee Mgaya. Au mpaka atupie kaulanzi kidogo?Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye amewaasa CCM kujiandaa kisaikolojia kwani siku zinakuja ambapo Watanzania " Wataichoka" tu na kuweka chama kingine madarakani.