Mzee Sumaye: CCM hata ikifanya vizuri kwa 100% ikumbuke kuna siku Watanzania Wataichoka tu na kuweka chama kingine

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye amewaasa CCM kujiandaa kisaikolojia kwani siku zinakuja ambapo Watanzania " Wataichoka" tu na kuweka chama kingine madarakani.

Sumaye anasema ndio maana yeye, mzee Lowassa na hayati Kingunge walienda upinzani ili kuandaa mazingira mazuri kwa chama mbadala wa CCM.

Haijalishi CCM inafanya vizuri kwa kiwango gani, ukweli ni kuwa Wananchi wataichoka tu na kusema sasa basi Yatosha tunataka kutawaliwa na chama chenye mawazo mapya, amesisitiza mzee Sumaye katika mahojiano yake na Odemba wa Star tv.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
CCM imeshachokwa miaka mingi iliyopita, hata Sumaye anajua hilo ndio maana akakimbilia Chadema kwa kuogopa kuachwa na ule upepo wa mabadiliko, kinachoiweka CCM madarakani ni kura za kwenye mabegi meusi kwa msaada wa Tume ya uchaguzi na vijana wa Sirro.
 
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye amewaasa CCM kujiandaa kisaikolojia kwani siku zinakuja ambapo Watanzania " Wataichoka" tu na kuweka chama kingine madarakani.

Sumaye anasema ndio maana yeye, mzee Lowassa na hayati Kingunge walienda upinzani ili kuandaa mazingira mazuri kwa chama mbadala wa CCM.

Haijalishi CCM inafanya vizuri kwa kiwango gani, ukweli ni kuwa Wananchi wataichoka tu na kusema sasa basi Yatosha tunataka kutawaliwa na chama chenye mawazo mapya, amesisitiza mzee Sumaye katika mahojiano yake na Odemba wa Star tv.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Enzi za mwendachato angeitwa na kamati ya Mangula kuhojiwa!
 
Sumaye ameoa uchagani!
Sumaye Aliienda kwa mashemeji.Hata UKAWA ulikuwa muungano wa wachaga na shemeji zao

Chadema Mbowe mwenyekiti mchaga, NCCR mwenyekiti Mbatia mchaga na CUF mwenyekiti Lipumba kaoa mchaga na kazaa naye !

CCM haiwezi chokwa kirahisi hivyo

Watu wanawachoka watu sio Chama mfano yeye na Lowasa watu waliwachoka sababu ya ufisadi wao uiokubuhu ukiwemo wa Ardhi wa kwake Sumaye
 
Kuna jambo linaendelea !tunaandaliwa kisaikolojia tu!!!Mara Butiku!kule Sumaye na Warioba anapiga jeramba!!!
 
Waziri mkuu mstaafu mh Sumaye amewaasa CCM kujiandaa kisaikolojia kwani siku zinakuja ambapo Watanzania " Wataichoka" tu na kuweka chama kingine madarakani.

Sumaye anasema ndio maana yeye, mzee Lowassa na hayati Kingunge walienda upinzani ili kuandaa mazingira mazuri kwa chama mbadala wa CCM.

Haijalishi CCM inafanya vizuri kwa kiwango gani, ukweli ni kuwa Wananchi wataichoka tu na kusema sasa basi Yatosha tunataka kutawaliwa na chama chenye mawazo mapya, amesisitiza mzee Sumaye katika mahojiano yake na Odemba wa Star tv.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hii habari haina mzania bila kusikia maoni ya Mzee Mgaya. Au mpaka atupie kaulanzi kidogo?
 
Back
Top Bottom