Mzee Sumaye: CCM hata ikifanya vizuri kwa 100% ikumbuke kuna siku Watanzania Wataichoka tu na kuweka chama kingine

Sumaye Kuna wakati utimamu huwa unajia vizuri Sana tu, Ila sijui huwa anakwama wapi?
 
Shida ya kichaggachaggadema ni kwamba Kama mtu siyo wa kwao hata awe mzuri ni matusi ila wakwao hata awe mjinga ni full kusifia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapo Mzee Sumaye kaongea ukweli mtupu.
 
Tanzania ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Raia halisi wa Tanzania anayejielewa atasaidia taifa lake lifike lengo hilo kistaarabu kwa kufuata sheria na katiba.
Mimi ni mwana CCM ninayependa nchi yangu. Naungana na Sumaye.
 
Sumaye kaongea ukweli mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…