Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa...... Mzee Mgaya anasema ACT wazalendo ndio chama mbadala!Hii habari haina mzania bila kusikia maoni ya Mzee Mgaya. Au mpaka atupie kaulanzi kidogo?
Ahaaaa. Ndiyo maana basi imeisha iyoSumaye ameoa uchagani!
Hahahaaaa.........!Hapo Mzee Sumaye kaongea ukweli mtupu.
Sumaye kaongea ukweli mtupu!Tanzania ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Raia halisi wa Tanzania anayejielewa atasaidia taifa lake lifike lengo hilo kistaarabu kwa kufuata sheria na katiba.
Mimi ni mwana CCM ninayependa nchi yangu. Naungana na Sumaye.
Na sintofahamu katika jamiiAnatakiwa ahojiwe ataleta taharuki.