professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Nenda nchi za kiislam ujioneeNi timeless?
Mbona sasa hamuwaui wanaouacha uislam kama dini yenu inavyoamrisha?
Kuna vitu havitekelezeki kwenye karne hii hata kama quran imesema.
Unajuaje??Habari za uongo hizo watu wanajua mtu alie kufa hata alie hai
hapa umedhihirisha ujahili wako km sio ukafiriMimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.
Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Umeshasema nchi za kiislam.Nenda nchi za kiislam ujionee
Madam inatekelezwa kwenye nchi husika hakuna shidaUmeshasema nchi za kiislam.
Kwa nini musiitekeleze hapa Tanzania kama inatekelezeka? Ni kwa sababu HAIWEZEKANI kutekelezeka kwenye nyakati hizi za dunia iliyostarabika na ni ukichaa huo.
Itekelezeni sasa hapa Tanzania ili tuone kwamba ni timeless.Madam inatekelezwa kwenye nchi husika hakuna shida
Kwani zamani tanzania ilikua inatekelezwa?Itekelezeni sasa hapa Tanzania ili tuone kwamba ni timeless.
Haijawahi kutekelezwa Tanzania kwa sababu ni Sheria Kichaa ya enzi za mawe huko karne ya 7... Hata leo HAITEKELEZEKI.Kwani zamani tanzania ilikua inatekelezwa?
Au imesitishwa lini tanzania kua na akili hata za kuvukia barabara kidogo.
Ndio mana tumetaja nchi zenye dola husika.
Sawa naona sasa ushajijua kama ni popoma ebu weka aya inayo sema hivyo.Haijawahi kutekelezwa Tanzania kwa sababu ni Sheria Kichaa ya enzi za mawe huko karne ya 7... Hata leo HAITEKELEZEKI.
Nyie si mnaifuata Quran vizuri, hebu itekelezeni hapa Tanzania tuone.
Usinichoshe. Kazi yangu ni kukuonesha wazi kuwa Quran sio timeless, kwa sababu baadhi ya maagizo yake YAMEPITWA NA WAKATI na hayatekelezeki katika ulimwengu huu wa leo.Sawa naona sasa ushajijua kama ni popoma ebu weka aya inayo sema hivyo.
Usinichoshe. Kazi yangu ni kukuonesha wazi kuwa Quran sio timeless, kwa sababu baadhi ya maagizo yake YAMEPITWA NA WAKATI na hayatekelezeki katika ulimwengu huu wa leo.
Ndio maana hata nyie hapa Bongo hamuwezi kuwaua wanaouacha uislam... na mkijaribu mtanyea ndoo segerea wote.
Nimemaliza.
Upuuz. Dini ya ajabu sana. Ndo maana mtume wenu bila aibu alimbaka binti wa miaka sita. Hovyo sana dini yenu antalau kwa mbali uislamu wa bohora na ismailiya wanazika tofauti na nyie Waislamu waigaji waswahili. Waislamu wa Bohola na ismailiya poua sana.Ndiyo
Wakristo mnakua wajinga sana yniUpuuz. Dini ya ajabu sana. Ndo maana mtume wenu bila aibu alimbaka binti wa miaka sita. Hovyo sana dini yenu antalau kwa mbali uislamu wa bohora na ismailiya wanazika tofauti na nyie Waislamu waigaji waswahili. Waislamu wa Bohola na ismailiya poua sana.
Sasa tuseme Waislamu million hivi wafe kwa mkupuo fikiria iyo milima ya MAVI [emoji1532][emoji1532][emoji1532][emoji1532][emoji38][emoji38]
INASIKITISHA na disgusting
Naam hiyo unayo ikashifu ndo dini yangu hongera unajua sana kukashifu je una matusi mengine?Upuuz. Dini ya ajabu sana. Ndo maana mtume wenu bila aibu alimbaka binti wa miaka sita. Hovyo sana dini yenu antalau kwa mbali uislamu wa bohora na ismailiya wanazika tofauti na nyie Waislamu waigaji waswahili. Waislamu wa Bohola na ismailiya poua sana.
Sasa tuseme Waislamu million hivi wafe kwa mkupuo fikiria iyo milima ya MAVI ππΏππΏππΏππΏππ
INASIKITISHA na disgusting
Hata Mtume ambaye ni kigezo chema hakuzikwa haraka!Mimi ni muislam lakini katika suala la kuwahisha mazishi niko kinyume na wengi.
Kuzika haraka mtu anapofariki sio muongozo wa quran bali ni maelekezo ya mtume wetu kutokana na wakati wao hakukuwa na teknolojia ya kuhifadhi maiti ili ikae muda mrefu.
Pia kutokana na joto la huko jangwani ikawa ni rahisi maiti kuharibika upesi, lakini pia kutokana na kukosa mawasiliano ya simu wakati huo ikawa sio rahisi kuwapelekea taarifa watu waliopo mbali ili wawahi mazishi, kwa hiyo mtume kwa hekima akasema kati ya mambo yanayotakiwa kufanywa haraka basi mazishi ni mojawapo.
Sasa kwa kuwa nyakati zimebadilika, teknolojia imekua kwa maana maiti inaweza kuhifadhiwa muda mrefu na pia wafiwa pengine wapo mbali na taarifa wamepata kupitia simu au whatsapp, je kuna ubaya gani kuchelewesha mazishi kwa sababu mazishi pia ni ibada mtu akihudhuria anapata thawabu.
Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu kuna Uislam na Uarabu, kun mambo inabidi kuyafuata kama Uislam unavyosema lakini pia kuna masuala ya utamaduni wa kiarabu ambao huku kwetu hauko applicable sio mbaya kama tutaacha huo utamaduni bila kuathiri dhima ya Uislam.
Mkuu hili andiko kuna siku nilisikia likisomwa but hadi leo natafuta fungu lake kwenye Bibilia, nisaidie kitabu lilipo.!.... hata biblia haijaainisha hvyo, imeainisha vilevile waislamu wanavyofanya
Alioa ? Alioa eeeh. Alikuwa anapaka hina na wanja mwanaume mzima aibu aibu. Alikuwa akimnyonya ulimi na kumlamba mdomo mwanaume mwenzake Hussein msikitini akiwa uchi.Wakristo mnakua wajinga sana yni
Saaa si bora mtume wetu alooa kuliko nyie mapastor wenu wanowalawiti vitoto vdgooo
Ivi umelifikiria hili kweli?
Aisee yaani tuwapeleke watoto wetu wakasomee udaktari kwa miaka 12 kwa mamilioni ya Shilingi halafu waje washindwe kutofautisha kama mtu kafariki au kalala ? Tafadhali bana fanya heshima kidogo..Mambo haya ya kuwaishana kuzikwa haya unaweza kuzikwa mzima mzima labda mtu ulilala Tu kidogo hiyo hapana siafiki
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app