Mzee Tyson wa WCB ni nani?

Mzee Tyson wa WCB ni nani?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Kuna mtu anaitwa Mzee Tyson pale WCB, yeye ndio anashare nyingi kuliko mtu yeyote kwenye ile kampuni. Tunaweza kusema yeye ndio mmliki halali wa WCB

Je, kuna mtu mwenye cv yake? Huyu mtu ni nani? Anafanya kazi gani hapa mjini
 
Mama diamond
 
Mzee kama hauko likizo ni bora ukafanya mambo yako kwanza!! Ni mapema sana kuanza siku mapema hivi kwa kufuatilia maisha ya watu!! Ni ushauri tu!
 
Sometimes unaweza kuwa ni kilaza lakini ukajihisi we ni mmoja wa watu wanao ''think big'' kumbe m@vi tu. Mtu umekuja kwenye jukwaa linalozungumzia maisha ya watu lakini unataka watu wajadili viwanda, kum@ sana we mtoto
Hajui maudhui ya jukwaa la mastar
 
Kuna mtu anaitwa Mzee Tyson pale WCB, yeye ndio anashare nyingi kuliko mtu yeyote kwenye ile kampuni. Tunaweza kusema yeye ndio mmliki halali wa WCB

Je, kuna mtu mwenye cv yake? Huyu mtu ni nani? Anafanya kazi gani hapa mjini
Mbona ushajijibu, ila huyo aliyekuambia kuhusu Mzee Tyson, ndio anatakiwa akupe CV yake.Ila kwa kujilizisha kuhusu umiliki wake nenda BRELA.
 
Back
Top Bottom