BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Mama diamondKuna mtu anaitwa Mzee Tyson pale WCB, yeye ndio anashare nyingi kuliko mtu yeyote kwenye ile kampuni. Tunaweza kusema yeye ndio mmliki halali wa WCB
Je, kuna mtu mwenye cv yake? Huyu mtu ni nani? Anafanya kazi gani hapa mjini
Kuna mtu anaitwa Mzee Tyson pale WCB, yeye ndio anashare nyingi kuliko mtu yeyote kwenye ile kampuni. Tunaweza kusema yeye ndio mmliki halali wa WCB
Je, kuna mtu mwenye cv yake? Huyu mtu ni nani? Anafanya kazi gani hapa mjini
Unaweza kukuta wewe ni mama wa familia kabisaSasa hivi umbea Dar imeshakuwa ajira kamili.....
Unaweza kukuta mwenye uzi huu ni baba wa familia
Think big take control of your destinyUnaweza kukuta wewe ni mama wa familia kabisa
Sometimes unaweza kuwa ni kilaza lakini ukajihisi we ni mmoja wa watu wanao ''think big'' kumbe m@vi tu. Mtu umekuja kwenye jukwaa linalozungumzia maisha ya watu lakini unataka watu wajadili viwanda, kum@ sana we mtotoThink big take control of your destiny
Hajui maudhui ya jukwaa la mastarSometimes unaweza kuwa ni kilaza lakini ukajihisi we ni mmoja wa watu wanao ''think big'' kumbe m@vi tu. Mtu umekuja kwenye jukwaa linalozungumzia maisha ya watu lakini unataka watu wajadili viwanda, kum@ sana we mtoto
Sawa BABA TUPACSometimes unaweza kuwa ni kilaza lakini ukajihisi we ni mmoja wa watu wanao ''think big'' kumbe m@vi tu. Mtu umekuja kwenye jukwaa linalozungumzia maisha ya watu lakini unataka watu wajadili viwanda, kum@ sana we mtoto
Nawewe uwe na siku njema MAMA TUPAC
Mbona ushajijibu, ila huyo aliyekuambia kuhusu Mzee Tyson, ndio anatakiwa akupe CV yake.Ila kwa kujilizisha kuhusu umiliki wake nenda BRELA.Kuna mtu anaitwa Mzee Tyson pale WCB, yeye ndio anashare nyingi kuliko mtu yeyote kwenye ile kampuni. Tunaweza kusema yeye ndio mmliki halali wa WCB
Je, kuna mtu mwenye cv yake? Huyu mtu ni nani? Anafanya kazi gani hapa mjini
This is TANZANIASasa hivi umbea Dar imeshakuwa ajira kamili.....
Unaweza kukuta mwenye uzi huu ni baba wa familia
Dah wewe jamaa ni mkorofi sanaNawewe uwe na siku njema MAMA TUPAC
Ahahhahahhahajajajajajjajjja daahSasa hivi umbea Dar imeshakuwa ajira kamili.....
Unaweza kukuta mwenye uzi huu ni baba wa familia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee Tyson ndio Magu.