Mzee Tyson wa WCB ni nani?

Mzee Tyson wa WCB ni nani?

Kuna mtu anaitwa Mzee Tyson pale WCB, yeye ndio anashare nyingi kuliko mtu yeyote kwenye ile kampuni. Tunaweza kusema yeye ndio mmliki halali wa WCB

Je, kuna mtu mwenye cv yake? Huyu mtu ni nani? Anafanya kazi gani hapa mjini
huyo si ndio yule aliyekuwa mbunge wa bunda sijui nani wassira.....ndio yeye huyo
 
Mnazidi kuiharibu jamii forums

Zamani mtu akija na swali la namna hii anapatiwa majibu mazuri na kama watu hawajui basi wanakaa pembeni wanasubiria majibu. Kama wewe unaona kitu hakikufai basi pita kimya.

Jamani kuweni wastaarabu kwenye thread za watu
 
Mzee tyson ni mzee wa kihaya ambaye by professional ni engineer anakaa tabata, ni mzee mwenye hela nyingi na alikuwa rafiki wa karibu wa joseph na ndio chanzo cha watu kuhusi wasafi ni ya joseph kumbe hapana
Kwa sasa ni mfanyabiashara maarufu huku akiwa anaishi kwenye bomba la villa huko kinyerezi
Jamaa anakufuru maana huzi kati mtoto wake amemaliza form 6 baada ya kufaulu amempa zawadi ya harrier new model
 
Mkuu hiyo Memarts ya Wcb umeiona wapi na sisi tukapige jicho?
 
Back
Top Bottom