Mzee uliyeambiwa na Diamond "toka hapa" pole sana. Ukiajiriwa ni kama kuolewa, siku ingine kaa mbali

Mzee uliyeambiwa na Diamond "toka hapa" pole sana. Ukiajiriwa ni kama kuolewa, siku ingine kaa mbali

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau

nimemuonea huruma sana yule mfanyakazi wa airport. aliyekuwa anazuia asirekodiwe video .. akaambiwa "toka hapa" akanywea kama mwanamke kwa mumewe...

vijana tafuteni hela... heshima ya uzee imepitwa na wakati..

mtu mzima unaambiwa toka hapa na kijana mdogooo na hufanyi kitu . ni fedheha sana
 
Nlicheka sana Diamond alipokuwa anamwambia yule Mzee kwamba " Huyu Mzee kala mchongo na jamaa watuzuie ili wauze tickets zetu kwa wengine" afu akamchukua video na jamaa then jamaa akaleta ubishi diamond akamwambia "toka hapa" nkajikuta nimecheka saana.
Mtoto wa tandale ni wa tandale tu hawezi kuwa na staha ya watoto wa Masaki. Kampa makavu vile vile yalivyo.
 
Walimwengu wanafanya kila jitihada ili Domo achukuliwe hatua kutokujua ukiritimba uliojaa katika hii nchi. Ticket yako mwenyewe anapewa mtu mwingine halafu unapaswa ukae kimya na kulipishwa ziada unalipishwa.
 
Unajua mm mm cjaelewa kabisa inamaana alichokifanya diamond ni makosa au ishafikia hatua kuwa mtu ukinyanyaswa mahali hautakiwi kusema wala kukemea..tena kuna watu wanasema et diamond alitakiwa aandike barua kwa viongoz wa pale airport,,sasa viongozi gani wakat mkurugenzi wa shirika alikuwepo na alishiriki kuwazuia
 
Bora alivyowachana live
Assume Ndio wewe unaambiwa umechelewa na budget imekata then inabidi u book tena na hotel juu achana na ratiba zako kuvunjika
 
Kwangu mimi hiyo simu angeenda kununua nyingine leo kariakoo au mcity.

Ningeipiga washi moja asijue imemponyokaje mpaka kutua kwa kishindo ukutani,halafu aende kulia polisi pumbaavu.
 
Kwangu mimi hiyo simu angeenda kununua nyingine leo kariakoo au mcity.

Ningeipiga washi moja asijue imemponyokaje mpaka kutua kwa kishindo ukutani,halafu aende kulia polisi pumbaavu.
Weeeee.....usione wanarukaruka vile kwenye stage ukafikiri ni bazoka. Hiyo washi moja ingekurudia mwenyewe kidevuni. Tandale ile baba washazoea roba za mbao
 
Nlicheka sana Diamond alipokuwa anamwambia yule Mzee kwamba " Huyu Mzee kala mchongo na jamaa watuzuie ili wauze tickets zetu kwa wengine" afu akamchukua video na jamaa then jamaa akaleta ubishi diamond akamwambia "toka hapa" nkajikuta nimecheka saana.
Mtoto wa tandale ni wa tandale tu hawezi kuwa na staha ya watoto wa Masaki. Kampa makavu vile vile yalivyo.
Unachekelea eeennh kwakuwa nani eti Nasibu, ujinga mtupu.
 
Nakuona kuporomoka kwa Nassib kisanii...! Wazee wanastahili heshima.
 
Nakuona kuporomoka kwa Nassib kisanii...! Wazee wanastahili heshima.
 
Weeeee.....usione wanarukaruka vile kwenye stage ukafikiri ni bazoka. Hiyo washi moja ingekurudia mwenyewe kidevuni. Tandale ile baba washazoea roba za mbao

Roba ni tofauti kabisa na washi.

Angeleta upinzani kwangu kama tu ningeanza kucheza mziki pale.
 
Kwangu mimi hiyo simu angeenda kununua nyingine leo kariakoo au mcity.

Ningeipiga washi moja asijue imemponyokaje mpaka kutua kwa kishindo ukutani,halafu aende kulia polisi pumbaavu.
Diamond ana baunsa kama Bolo yanki. Kabla wash alijafika unapigwa mbata ya mgongo na baunsa linalia kama Bomu. [emoji16][emoji16][emoji16]
Wale jamaa sio wajinga kuamua kuwa wapole.
 
Huyu asiyemjali baba wa kumzaa abawahesabia wanaume wote kama amwobavyo babaye aliyempotezea
 
Mliofurahia sasa mko wapi jamaa ashafungiwa asifanye show ndani ya nchi na njee yanchi yake. Kwa kipindi kisichojulikanwa. Mpeni pole
 
Back
Top Bottom