Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Nani Tena? Aisee hii familia si rafiki kwa wazee.habari wadau
nimemuonea huruma sana yule mfanyakazi wa airport. aliyekuwa anazuia asirekodiwe video .. akaambiwa "toka hapa" akanywea kama mwanamke kwa mumewe...
vijana tafuteni hela... heshima ya uzee imepitwa na wakati..
mtu mzima unaambiwa toka hapa na kijana mdogooo na hufanyi kitu . ni fedheha sana